taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mbunge Ruhoro: Wakaguzi wa ndani nao ni wezi wanashiriki kwenye dili za kuiba. Iundwe taasisi ya Wakaguzi wa ndani inayojitegemea

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro akiwa anachangia hoja amesema; Mkaguzi mkuu wa ndani wa serikali anapewa fedha kutoka wizara ya fedha na anapewa fedha na katibu Mkuu Wizara ya fedha, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaetoa fedha kwenye halmashauri na mamlaka zote za serikali za mitaa na kwenye...
  2. Maagizo ya Paul Makonda siyo yake, ni ya taasisi "CCM na Serikali"

    Wanabodi, Salaam! Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti. Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua "CCM". So wkt wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 na 2020 wapinzani wakiwa Kagera, Dar, Arusha...
  3. Serikali Kutumia Bilioni 30 Kujenga Taasisi ya Moyo Mloganzila

    Ujenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika hospitali ya Mloganzila unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka 2023 ambapo utagharimu Sh30 bilioni, mpaka kukamilika kwake. Kimsingi jengo hilo jipya, litafanana nan a jengo la sasa ambalo lipo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
  4. Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

    Habari za muda huu, Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
  5. Rais Samia rekebisha mapungufu Utumishi kama yapo lakini sio kuruhusu taasisi ziajiri zenyewe

    Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, wewe ndio Rais wetu, tukiwa na shida lazima tukulilie wewe. Kuna mengi umeifanyia hii nchi mazuri na unasifa kubwa ya kuwa msikivu mfano suala la DP World. Umesema umechukuwa mapendekezo ya watu ukarekebisha baadhi ya vitu vilivyolalamikiwa, na mimi...
  6. Ushauri: Taasisi ya misaada ya kielimu

    HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO: Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada. Binafsi nimefanikiwa...
  7. Simba kupanda thamani, maombi ya uwekezaji na ushirikiano kutoka klabu na kampuni kubwa za michezo ni mengi

    Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba...
  8. A

    DOKEZO Tunaomba Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) itukamilishie malipo yetu ya ‘refund’

    Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB). Ipo hivi, tukiwa Mwaka wa tatu zaidi ya Wanafunzi 1,000 tulilazimika kulipa fedha zetu binafsi kwa...
  9. Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  10. Je, TANESCO wanaruhusu kugawana umeme kwa nyumba za taasisi?

    Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
  11. Serikali kuruhusu Taasisi za Umma kuajiri zenyewe badala ya Sekretariat ya Ajira (Utumishi) ni kujijengea chuki dhidi ya wasiokuwa na ajira

    Habarii wanajf, hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya taasisi za umma zikianza kuajiri zenyewe badala ya utumishi ikiwa ni miezii kadhaa tangia Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan alipozipa taasisi za umma mamlaka ya kujiendesha zenyewe kwa asilimia 100 ikiwa ni...
  12. Taasisi ya Moyo wa Mwanamke Shujaa Yafanya Kongamano na Kuiasa Jamii Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    TAASISI YA "MOYO WA MWANAMKE SHUJAA" YAFANYA KONGAMANO NA KUIASA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA TAASISI ya Moyo wa Mwanamke Shujaa yenye Makao yake Makuu Manispaa ya Morogoro chini ya Mkurugenzi wake, Dkt. Magreth Kongera, imefanya Kongamano la maombi na uzinduzi wa kampeni ya kupinga...
  13. R

    Hizi hapa taasisi zilizorudisha rushwa kwa kasi ya ajabu awamu ya sita

    1. Jeshi la Polisi - trafic na CID wanakula vitu vinono. Kila kona ya nchi kuna trafic na wapo radhi kusimama akusanye buku buku akifika jioni apeleke nyama home. Uchunguzi hasa case za kuibiwa vifaa vya electroni hakuna anayechunguza. Mtaani panejaa simu na computer za wizi. Watu wa cyber wapo...
  14. R

    Prof. Mahalu kutuhumiwa kwa ubaguzi akiwa kwenye taasisi ya kanisa inaleta picha gani kwa mustakabali wa Tanzania?

    Zaman tuliaminishwa kwamba Prof ni mtu msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mema na mabaya. Leo hii profesa akiwa ndani ya taasisi ya dini ambapo tunaamini analelewa kiroho anapotuhumiwa kuwabagua binadamu na kuelekezwa wasipewe huduma hata ya chakula ni fedhea sana kwa kanisa na wasomi...
  15. Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

    Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti. 1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali) 2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya) 3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa) Nahisi ana kitu unique sana...
  16. Je, ni faida au hasara kwa Taasisi na Mashirika ya Umma kuajiri yenyewe bila kupitia Utumishi (Ajira Portal)?

    Kwa sasa hali imebadilika taasisi na mashirika mengi ya umma yanaajiri yenyewe kupitia Portal zao bila kuhusisha utumishi au Ajira portal. Leo hiii watu wanaomba kazi TRA kupitia portal ya TRA. NSSF pia watu wanamba kupitia uko na taasisi nyengine za umma. Je, kuruhusu Mashirika na Taasisi za...
  17. Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  18. Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  19. Taasisi yoyote makini haiwezi kujiendesha kidemokrasia

    Duniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi. Angalia...
  20. Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…