tabasamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Tabasamu Amtia Moyo Mwigulu Amuambia Awe na Ngozi Ngumu Tu

    MHE. TABASAMU HAMISI AMTIA MOYO MWIGULU AMUAMBIA AWE NA NGOZI NGUMU TU "Leo niko kizalendo zaidi, kuna watu ni majemedari wa kupiga kelele na kuzungumza sana maneno makali kwenye mitandao, Waziri Mwigulu maneno haya yangekuwa yanatoboa mwili wako leo ungekuwa umejaa Viraka na Bandeji mwili...
  2. Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  3. L

    Serikali yaleta tabasamu na Matumaini kwa Wakulima

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaa ina furaha, Raha, Amani, Tabasamu na matumaini makubwa sana. Hii ni Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya kilimo ya Takribani billioni Mia Tisa na sabini iliyoleta Nuru na Mwanga kwa wakulima,Sasa Taifa ni Nuru tupu na mwanga kila eneo. Ikumbukwe ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…