Tumefanikiwa kurudisha tabasamu Lililopotea toka 2012!

Tumefanikiwa kurudisha tabasamu Lililopotea toka 2012!

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Wakubwa habari Leo tulipata Ugeni offisini kwetu Kutoka kwa Mtu Wa JF akisema Ameona tangazo la huduma zetu humu Hivyo Tukampokea alieleza shida yake aweze kutatuliwa ( Mapengo Kinywani kwa kukosa meno )

Hivyo Faida za kuweka Meno bandia
.Utaweza Kutafuna chakula Vizuri
. Utaweza Kujiamini na kuwa na Afya
. Utalinda meno Mengine Yasiharibike
. Utaepukana na magonjwa ya taya
. Uimara wa meno utaongezeka

Tunatoa huduma bora za kinywa na Meno Ikiwepo
Kuziba meno yaliyotoboka, Kusafisha, Kupanga Meno ( Braces) , kung’arisha meno ya Ki - Arusha NK

Office zetu 📍Kibaha Mail moja - Pwani ( Kila Siku )
📍Magomeni - Dar es salaam ( Appointment tu )
📞: 0658950085

Gharama Zetu Ni Rafiki Sana

Hapa chini Nimeweka Picha Kazi Kabla na baada ya matibabu gharama ya kila jino ni tsh 100,000/= Karibuni Sana
 

Attachments

  • IMG_8074.jpeg
    IMG_8074.jpeg
    333.4 KB · Views: 34
  • IMG_8079.jpeg
    IMG_8079.jpeg
    467.7 KB · Views: 36
Back
Top Bottom