Tabora is the capital of Tanzania's Tabora Region and is classified as a municipality by the Tanzanian government. It is also the administrative seat of Tabora Urban District. According to the 2012 census, the district had a population of 226,999.
Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko wa pili na Leo hii umetumika
Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM)...
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!
Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na...
Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana.
Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.
1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana
2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.
Mods shikiria hapo hapo.
SIKU YA MECHI KALI.
MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.
VIKOSI VYA LEO
Game On
3' Tabora 0-0 Simba
6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki
12'...
Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni.
Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba.
Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe...
Mtangazaji wa ITV Hosea Mchopa amemnasa Christina Mwagala Afisa Habari wa Tabora United ambaye ametamba kufanya usajili wa kutikisa kwa kutumia Shilingi milioni 500 kusajili wachezaji takriban wanne wakiwemo Wacameroon wawili Cedrick Zemba na Kipa Jean Noel Amonome.
Mwagala amesema lengo lao ni...
Huyu Manara anatufunga kamba 😂
Eti anasema anaamini asipovaa jezi wanafungwa na ile mechi ya Tabora hakuvaa wakala Tatu na ndio kisa cha kuhama pale Azam Complex
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake.
Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United.
Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma...
Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United.
Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga.
Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo ilikuwa ni ahadi baada ya kuichakaza Yanga SC goli 3-1.
Soma Pia:
RC Chacha aahidi milioni 50...
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024.
Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.