tabora united

Tabora is the capital of Tanzania's Tabora Region and is classified as a municipality by the Tanzanian government. It is also the administrative seat of Tabora Urban District. According to the 2012 census, the district had a population of 226,999.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC

    Wakuu Mmesikia huko? Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameahidi kitita cha shilingi milioni 50 kwa timu ya Tabora United iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao. Chacha alitoa ahadi hiyo leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, Kitete, wakati wa zoezi la...
  2. GENTAMYCINE

    Kwa vipigo viwili tu vya mfululizo vya Azam FC na Tabora United FC ndiyo mmechanganyikiwa hivi? Na bado!

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe "Wachezaji wetu Yanga SC wamerogwa" Mashabiki wa Yanga SC "Wachezaji wetu wanalewa sana na kupiga mno Miti / Kungonoka" Uongozi wa Yanga SC "Hatumuelewi Kocha Gamondi ni Mbishi, Mjivuni na Mbaguzi wa Wachezaji" Hakika aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Raia wa...
  3. mdukuzi

    Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  4. Waufukweni

    Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

    Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
  5. B

    Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  6. Waufukweni

    Mshabiki wa Simba waamka na Yanga, waanzisha dozi ya 'Kulamba Asali' kutwa mara tatu

    Wakuu, Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana. Pia, Soma: + Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1 + Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
  7. Magical power

    Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  8. M

    Ni wazi kuwa utawala wa Gamondi na Pep Guardiola umefikia tamati

    Man City na Yanga Afrika ni miongoni mwa timu zenye kiburi na jeuri katika ulimwengu wa Soka nchini Uingereza na Tanzania kwa ujumla. Sasa hivi utawala wao umefikia ukingoni kutokana na kupokea mfululizo wa vipigo kutoka kwa timu kama Bournemouth na Tabora United. Soma Pia: Full Time: Yanga...
  9. covid 19

    Viongozi wa Yanga mmefanya makosa sana kurudi Chamazi kucheza pale, ule uwanja hautufai

    Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa. Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai...
  10. Waufukweni

    Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1

    Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi. Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Aidha...
  11. Akilindogosana

    Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars

    Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars. Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league. Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...
  12. Waufukweni

    Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya Tabora United

    Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni. Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02 Picha: Mwanaspoti
  13. Mkalukungone mwamba

    Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: 🕖 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  14. UMUGHAKA

    Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
  15. Thabit Madai

    Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

    Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana. Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
  16. KING MIDAS

    Tetesi: Baadhi ya Wachezaji wa Tabora United watelekezwa, wanatafuta nyumba za kupanga kwa gharama zao

    HILI LA TABORA NI KIBOKO🙌 Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wameonekana mitaani wakiwa na watu wanaodaiwa kuwa madalali, wakiwatafutia nyumba za kupanga baada ya uongozi wa timu hiyo kuwatelekeza katika nyumba ya wageni walikokuwa wakiishi tangu kuanza kwa maandalizi ya msimu huu. Chanzo...
  17. kavulata

    Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

    Kagoma hakupaswa kucheza https://www.youtube.com/watch?v=rCEb85MDopM
  18. L

    Enyi Wanyamwezi wa Tabora United Simba ya fungua dimba imewakosa sana mmepigwa kono la nyani jumapili

    Nawaasa washabiki na wanachama wa Simba, suala la usajili limekwisha na sasa tuunge mkono chama letu. Simba itakaa sawa baada ya mechi tano au sita, huyo Mukwala mnayedhani sio striker atawanyamazisha muda c mrefu. Kama wewe umekuja kwenye football kama Baba levo au Mwijaku tafadhali jitoe...
  19. Roving Journalist

    RC wa Tabora, Paul Chacha awakabidhi wachezaji wa Tabora United Tsh. Milioni 50 kwa kusalia katika Ligi Kuu

    Baada ya kufanikiwa kusalia kwenye NBC Premier League, hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewakabidhi wachezaji wa Tabora United, kitita cha Shilingi milioni 50 aliyowaahidi endapo wangefanikiwa kusalia kwenye Ligi Kuu Bara. Tabora United imesalia NBC Premier League baada ya kuifunga...
  20. Nyendo

    FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) | 16/06/2024| Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao

    Mchezo wa marudiano kati ya Tabora united na Biashara Inited unaendelea. Ikumbukwe Mchezo wa kwanza biashara United iliibuka na ushindi wa bao 1 lililofungwa kwa Mkwaji wa penati. Ikitokea Buashara akaibuia na Ushindi leo, au kupata Droo yoyote atakuwa kakata tuketi ya kuoanda ligi kuu kwa...
Back
Top Bottom