Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
Soma: Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly...