Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
Huruhusiwi kubadili jibu lako...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi.
Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa.
Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena.
Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
"Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine kichefuchefu. Je wataalam wa JF hali hii inayonitokea, nitakuwa nasumbuliwa na nini?
Natanguliza Shukran zangu
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
Yaani kama Yanga SC na Simba SC wamemshindwa kwa tabia zake nyie ndiyo mtamuweza? Na mlivyo Wapuuzi nyie wenyewe ndiyo mmempa Mkataba 'Maalum' kuwa awe anakuja tu huko Mkoani kwenu mliko Siku Mbili kabla ya Mechi yoyote na akimaliza Kucheza Siku hiyo hiyo anarudi Dar es Salaam kuendelea kula...
Habari ndugu kaka zangu na dada zangu wa Jf kwema habari za mida hii, poleni na majukumu ya kujenga TAIFA
Natumaini ni wazima kwa afya na mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ASAIDIE! ndugu zangu nimekuja na shida kidogo Nina mtoto mdogo hapa kidogo Hali yake imebadirika Toka asubuhi niliona kama...
Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya.
Hili la uchaguzi wa CHADEMA ni miongoni mwa hizo namna za kuamsha ari ya kisiasa kwa Wananchi maana ake si kwa mkesha huu...
Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
Habari za mda huu,.
Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu...
Nimeweza kurudisha contacts...
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi.
GENTAMYCINE sijawahi kuona Watekaji wanaomuogopa yule Waliyemteka halafu Wanawasiliana kwa Uwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.