Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.
Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap.
Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa nashindwa tu kusema. Nikamwambia ndio ivyo sina kitu akasema atazamini pambano ila leo lazima...
Ndugu, habari za wakati huu.
Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k
Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua.
Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho
Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo.
Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
Habari wana JamiiForums!
Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri. kupitia huu uzi nawe utapata funzo piaa.
NAANZA; Kipindi cha miezi miwili iliyopita nilipata nafasi ya...
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him.
Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
Ipo kwenye TanzLii lakini kuna some missing pages page no.6 and 13.. Naomba tafadhali kama kuna aliye Court of Appeal Mwanza anisaidie kuniwekea complete judgement.
Pia ikiwezekana na High Court Judgement.
Please and please
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA...
Nawasalimu kwa jina JMT
Moja kwa moja najikita kwenye mada.
Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani kinyume na Sekretarieti ya ajira PSRS inayosimamia suala hilo kwa sasa.
Naishauri serikali isisikilize...
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Iwe ni kiongozi wa kisiasa au wa namna yeyote unaetambulika ima wa jamii au wa mtaa jaribu kuomba hii ukapate exposure na maarifa.
kama una mda jaribu kuomba, ukienda huko hupewi pesa ila mambo ya usafiri, malazi na chakula watakugharamia wao.
Ama kama unamfahamu mtu yeyote ambae ni kiongozi...
1. Kwa Kufuata Katiba?
2. Kwa Nidhamu na Utu?
3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB?
4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto?
5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki?
6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi?
7. Kwa Jicho la Huruma la Wine?
Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.