Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC)
Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC)
Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC)
Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
"Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye.
Kamarada...
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar.
Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi.
Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi?
Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona?
Yanga SC...
Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui.
Ila kwa huyu Nusu...
Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali...
Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je
- Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes?
-Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ...
Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman
Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
Wakuu kwema samahani naomba kuuliza kuna vifaa vya michezo huwa vinakanywaga miguuni unavicontrol kwa miguu miwili vina matairi mawili ni kama skate board lakini vinatofautiana kwa anaevijua naomba jina lake rasmi la kiingereza na picha pia
Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri?
1 . Web designing
2. Vfx and animation
3. Software and programming languages
4. Tally
5. Cyber security
6. Computer hardware and maintainance
7. Computer hardware anda networking
8.
9.
10.
Ongeza chaguo jingine ikibidi...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri.
Nna kaunjezi kapo kwenye level ya kupaua sasa pesa ya mbao ipo mfuko wa shati ila ya bati itapatikana baada ya kama mwezi na nusu.
Mimi nilitaka kuweka hii pesa mpaka ninunue bati ambazo nitaomba ushauri muda ukifika. Ila kwa sasa naomba ushauri maana...
Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai.
Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
Jeshi la Polisi Nchini limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa simu na kutozwa fedha ili watafutiwe simu zao waende kwa Makamanda wa Polisi Mikoa (RPCs), Wakuu wa Upelelezi (RCOs) au wakuu wa upelelezi Wilaya (OC-CIDs) kwa ajili ya kuchukuwa hatua ili askari hao waliofanya utovu wa...
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi?
1. Champion Kapangala ( Sebene )
2. Omba ( Rhumba )
3. Wallah Danico ( Sebene )
4. Sans te Toucher ( Rhumba )
Kama una 'updates' zozote...
Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni.
Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.