Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,
7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure.
🥺🥺🥺🤔🙇🏿♂🙇🏿♂🙌🏿🚶🏾🚶🏾🚶🏾🏃🏿🏃🏿
Kwahiyo tusile vya...
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.?
Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la?
Au zamani elimu ilikuwa ngumu?
Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie?
Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa mbele yakiwa yamewekwa katika code na mengine yakitaja maeneo ya tukio, muda na mwaka husika. Eg (Corona...
Health
Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha? Je, umechoka kutafuta? Inawezekana majibu yako hayako katika molekuli mpya, bali...
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni
Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo...
C&P from Face Book.
THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT!
Na Bollen Ngetti
0748 092092
KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana.
Nikiri sijawahi kumwona na kumsikia Rais Samia akiongea kwa namna ile.
Hotuba yake ilibeba ujumbe mzito ulioelekezwa kwenye anuani tatu, hivyo, hadhira tatu; wananchi wa kawaida, wanasiasa na Jumuiya ya Kimataifa.
Kwa andiko hili ningependa...
1) Muda u taratibu unaposubiri jambo.
2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo.
3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni.
4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha.
5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu.
6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania
Mobhare Matinyi
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
🗓️ 31 Mei, 2024.
📍 Dar es Salaam.
Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
1. Vitu unavyopost vinaonesha wewe ni mtu wa aina gani, kumbuka kuweka safi ukurasa wako kila wakati
2. Page na magroup unayo follow yanaonesha wewe ni mtu wa aina gani, rafiki zako wanaona vitu unavyo like. Jitahidi kutunza heshima yako kwa ku like na ku follow vitu vyenye staha.
3. Kabla...
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini?
Mfano:
A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I?
Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u.
Masharti ya...
Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama.
Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho:
2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana:
3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au wamzuie kupigana kwa maana ataua mtu!
4. Wenye busara zao nao hawataacha kudadavu yao:
5. Kwa...
🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA
📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024
Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?
Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.