tafakuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tafsiri ya kibonzo cha Kipanya kuhusu CHADEMA na mchoro wa pundamilia usiokwisha

    Wakuu, Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja. Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
  2. Tafakuri ya ubahili na mkono mrefu

    6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake, 7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. 8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™ŒπŸΏπŸšΆπŸΎπŸšΆπŸΎπŸšΆπŸΎπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ Kwahiyo tusile vya...
  3. Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  4. Tafakuri kuhusu matokeo ya kidato cha 4 mwaka huu

    Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie? Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
  5. Tafakuri: Je, moto wa california ni tukio lililoandaliwa?

    HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa mbele yakiwa yamewekwa katika code na mengine yakitaja maeneo ya tukio, muda na mwaka husika. Eg (Corona...
  6. Kufa Kidogo Ili Kuishi Zaidi: Tafakuri Dawa Kama Sumu Iliyopimwa Kwa Usahihi

    Health Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha? Je, umechoka kutafuta? Inawezekana majibu yako hayako katika molekuli mpya, bali...
  7. Tuzisaidie mamlaka kutenda kwa tafakuri na kuepuka undumilakuwili

    Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni Ama la linafanya haya yote kwa nia ya kumharibia mtu kuelekea uchaguzi mkuu 2025..lakini limeshindwa kupima madhara yake kwa matendo...
  8. D

    Uzinduzi Kitabu cha Edward M. Sokoine: Tafakuri ya Bollen Ngetti

    C&P from Face Book. THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT! Na Bollen Ngetti 0748 092092 KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
  9. Tafakuri Jadidi -Jamhuri ya Samaki

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana. Nikiri sijawahi kumwona na kumsikia Rais Samia akiongea kwa namna ile. Hotuba yake ilibeba ujumbe mzito ulioelekezwa kwenye anuani tatu, hivyo, hadhira tatu; wananchi wa kawaida, wanasiasa na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa andiko hili ningependa...
  10. TAFAKURI: Maana halisi sita (6) za muda. Je, wewe unaelewa nini kuhusu Muda?

    1) Muda u taratibu unaposubiri jambo. 2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo. 3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni. 4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha. 5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu. 6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
  11. Tafakuri ya leo

    "Mambo si marahisi kama wasio na uzoefu wanavyofikiri, na siyo magumu kama wajinga wanavyoamini" Fafanua.
  12. Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. πŸ—“οΈ 31 Mei, 2024. πŸ“ Dar es Salaam.
  13. Hotuba ya Mobhare Matinyi katika Hafla ya Kitaifa ya MISA Tanzania ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujieleza

    Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
  14. Tafakuri, hivi vitu vinavyoweza kukuonesha wewe ni mtu wa aina gani

    1. Vitu unavyopost vinaonesha wewe ni mtu wa aina gani, kumbuka kuweka safi ukurasa wako kila wakati 2. Page na magroup unayo follow yanaonesha wewe ni mtu wa aina gani, rafiki zako wanaona vitu unavyo like. Jitahidi kutunza heshima yako kwa ku like na ku follow vitu vyenye staha. 3. Kabla...
  15. Tafakuri ya leo kuhusu herufi

    Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini? Mfano: A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I? Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u. Masharti ya...
  16. Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

    Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama. Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
  17. B

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au wamzuie kupigana kwa maana ataua mtu! 4. Wenye busara zao nao hawataacha kudadavu yao: 5. Kwa...
  18. Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    πŸŽ™οΈ ALI KAMWE: β€œMsimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
  19. Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA πŸ“Œ Dar es salaam, πŸ“ 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  20. S

    Pre GE2025 Tafakuri ya kauli ya CDF kuhusu mkimbizi kupewa uteuzi

    Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani? Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…