tafiti

Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Tafiti zaonesha kuwa wanawake wanahitaji usingizi wa kutosha

  2. Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  3. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  4. M

    Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  5. Ofa ya kuchapisha (publish) maandiko ya tafiti kwenye jarida la nishati bure kabisa (MDPI)

    Habari marafiki, Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo: 1. Natural Gas Resources and Exploration 2. Natural Gas Reservoirs 3. Natural Gas Drilling Technologies 4. Natural Gas Processing and Optimization...
  6. Mwani kutumika kama tiba, kuna utafiti wowote kuthibisha hilo?

    Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia. Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto. Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
  7. Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

    Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k). Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
  8. Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  9. Uzi wa tafiti na Saikolojia

    Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
  10. Uzi wa tafiti na Saikolojia

    Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
  11. Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  12. Tafiti: Vipande vya sigara ambazo zimetumika, ndio uchafu namba moja duniani unaoongoza kwa kufanywa na binadamu makusudi!

    1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo. 2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
  13. Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

    TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo...
  14. M

    Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
  15. Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  16. Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  17. P

    Serikali yataka umakini na tafiti juu ya kuruhusu matumizi ya bangi

    Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo aliyeuliza msimamo wa serikali baada ya baadhi ya nchi kuruhusu matumizi ya bangi kama tiba. Serikali...
  18. Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

    Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji. Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya. Tatizo ni uwoga hapa JF...
  19. Nimegundua haya

    Habari wakuu 1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate 2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii 3. Hakuna motoni wala mbinguni 4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni binadamu,wengine ni chitauli/aliens na wengine mijusi/reptilia 5. Tunaishi kwenye duara la maisha,tukitoka...
  20. NIMR na Wizara ya Afya mmeshindwa kabisa kufanya tafiti na kupata tiba sahihi ya tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu?

    Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu. Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu! Hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…