Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.
Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. 𝗝𝗲, 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗮𝘁𝗶𝗯𝗶𝗸𝗮? 𝗠𝗽𝗮𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗵𝗮𝗶𝗷𝗮𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝗶𝗸𝗮 𝗱𝗮𝘄𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼 𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶
Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake, kwasasa dunia bado haijapata dawa ya kutibu ugonjwa huu mbaya na hatari. Kisukari inaongoza kwa...
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.
1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology
2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture
Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu.
Kabla...
Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo.
Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Tatizo Waane amesema awali walikuwa wakipokea wagonjwa 50 hadi 60, lakini hivi...
[
]
" Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP),
Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA.
Miradi ya uzalishaji...
Tafiti fupi ilofanyika
Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa
Mwaka 1960-1970
Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani
Mwaka 1970-1980
Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa
Mwaka 1980-2000
Kati ya wasichana...
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako
1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi?
2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
Ninafanya utafiti ambao umenihitaji kufungua Hansards za bunge tangu 2003 hadi leo. Japo hii sio moja ya lengo la tafiti yangu lakini nimeona niandike hapa nilichokiona na nia ya kubadilisha ili kuwa na mambo yenye tija kwa nchi yetu
Mawazo ya wabunge hayako supported na tafiti wanapotoa...
Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania
Natamani:
1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti
Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao.
Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za waliochanjwa ili kuona wastani wa kinga zao na namna wanavyoweza kujikinga.
Kauli hiyo imetolewa leo...
Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa.
Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti.
Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science.
Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
Watafiti wamechapisha katika Jarida la Afya ya Wanaume kuwa Virusi vya Corona vinaweza kusababisha mwanaume kushindwa kusimamisha
Tafiti imeonesha kuwa Corona huathiri mishipa ya damu ambayo pia hupeleka damu kwenye dhakari, hivyo ikiathiriwa hupelekea tatizo hilo
Wanasayansi wameona haja ya...
Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake.
Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa.
Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.