The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote Mimi nahahidi mfuko mmoja wa cementi Kila mchezaji
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo.
Taifa stars anashinda 3.1DRC
Wafungaji
1 Fei toto wa yanga
2 Saimon msuva
3 Fei toto anafunga tena
CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu...
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani.
Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu.
Mimi...
Mzuka wanajamvi!
Kwaanzia usiku huu hadi kesho jioni nimefunga kwa ajili ya timu yetu pendwa ya taifa stars ishinde mechi zake zote zilizo salia na ifuzu kombe la dunia. Sitakula, kunywa wala kuvuta hadi kesho jioni.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022...
Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars.
Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri
Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua.
Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za...
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC?
Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au?
Huu Usimba na...
Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi ya minne mfufulizo.
Inasemekana kuwa TFF ilimpa tenda Kassim Dewji kuivalisha Taifa Stars, lakini...
Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya.
Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini.
Ombi langu...
Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula.
Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30...
Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya...
Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana.
Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam na zimebaki siku chache sana sasa sijui hao wadhamini kwanini hawakutafutwa mapema. Naomba mwenye...
Twende sawa,
Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili
Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa
Raundi ya kwanza
hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.