taiwan

  1. Mi mi

    Kituo kinachofuata Taiwan napata mashaka

    Kwa huu mwenendo wa marekani kwa sasa mwenye uhakika wa usalama,ukaribu na utafiki na marekani naona ni Israel pekee. Hawa wengine wanatumika tu kiurafiki wa kinafiki na marekani kwa ajili ya maslahi yake binafsi. Canada kazi ya marekani wameiona, Mexico wameiona, Denmark wameiona, umoja wa...
  2. C

    Full funded scholarship in Taiwan

    Habari zenu, TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale. Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa...
  3. C

    Taiwan Full funded scholarship opportunity

    TaiwanICDF Scholarship is now open till 1st march. The scholarship is full funded for masters and PhD and covers flight expenses go and return. The programs are English taught. It's so easy to apply all you need is to visit TaiwanICDF website and download the guidebook there you'll find all the...
  4. Sir John Roberts

    China yaweka vikwazo kwa makampuni 13 ya kijeshi ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan

    Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi za Marekani pamoja na maafisa wa sekta ya ulinzi wa Marekani Alhamisi hii (Disemba 5), ikiwa ni...
  5. Mi mi

    Ni kwa namna gani Taiwan ataweza kukabiliana na China ki vita kama ambavyo Ukrainein?

    Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan. Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa. Je, ni kwa namna...
  6. M

    Hawa Taiwan na Hongkong wanakera sana

    Inakuwaje ndani ya nchi moja wao kuwa na kauli ya "nchi yetu" wakati nchi ni China. Na hii hata hapa Tanzania wenzetu hawa Wazanzibari na kauli zao za kusema "nchi yetu" inakera sana! Kwa hiyo kumbe Rais Samia ametoka nchi nyingine ya Zanzibar kuja kuitawala nchi nyingine ya Tanzania...
  7. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  8. ward41

    Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

    Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe. Wote tulifuatilia msafari wa bi Perosi. Ndege, meli za kivita zilikuwa zimeizunguka Taiwan, lakini...
  9. Mathanzua

    China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

    CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY MAY 25, 2024 The video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing...
  10. Yoyo Zhou

    Lithuania yajuta kuchokoza China katika suala la Taiwan

    Rais wa Lithuania Gitanas Nauseda hivi karibuni amesema kuna haja ya kubadilisha jina la “Ofisi ya Uwakilishi wa Taiwan nchini Lithuania” ili kutuliza uhusiano kati ya nchi hiyo na China. Baada ya kujihusisha katika suala la Taiwan, ambalo ni maslahi kuu ya China, hatimaye Lithuania inajuta...
  11. G

    Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  12. TPP

    TPP KULETA UPINZANI MKALI UCHAGUZI MKUU TAIWAN MWAKANI(2024) ?

    ( Mgombea kiti cha urais 2024 bwana Ko Wen-je kupitia chama cha TPP ). Chama cha kisiasa cha Taiwan ambacho kiliundwa miaka minne(2019) iliyopita kimepanda nafasi mbele ya chama kikuu cha upinzani Kuomintang na kuwa chama cha pili maarufu zaidi katika kisiwa hicho. Chama cha watu wa...
  13. TPP

    Mambo mawili ya kushangaza na kuvutia kuhusu Rais wa ROC (Taiwan) Tsai ing-wen

    你好 TSAI ING-WEN 1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ? Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake. Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa...
  14. JanguKamaJangu

    China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

    Jeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano...
  15. Zacht

    Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  16. TPP

    Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

    "Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara. Rais huyo alisisitiza kwamba, "People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in...
  17. Russia is not your enemy

    Tukumbushane Marekani alivyopambana na Taiwan. Urusi na Ukraine sio hoja

    Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu, Marekani. Mzozo huo ulizidishwa na Vita Baridi vinavyoendelea kati ya Marekani na Muungano wa...
  18. M

    Taipei: Rais wa kisiwa cha Taiwan kufanya ziara nchini Marekani

    Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen kufanya ziara nchini Marekani huku China ikilaani kitendo hicho cha kuitaka kuitenga Beijing na kisiwa hicho chenye utawala wa ndani. Katika ziara hiyo Weng atasimama katika miji ya Newyork na California ambapo atakutana na speaker wa Bunge la Marekani Mu Republican...
  19. L

    Wachina ndio wana mamlaka ya kutatua suala la Taiwan na hakuna nchi yoyote yenye haki ya kuliingilia kati

    Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
  20. matunduizi

    Wataalam wa vita wanatabiri China kupigwa na Taiwan ikiwa Japan na Marekani wataisaidia Taiwan. Nini maoni yako?

    Think Tank: Simulation Predicts Taiwan Could Defeat China With US-Japan Aid in Invasion Scenario A simulation run by the Center for Strategic and International Studies (CSIS) think tank has determined that Taiwan would come out as a victor if faced with a Chinese invasion in 2026, assuming it...
Back
Top Bottom