Spika Ndugai amesema haya,
Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais
Nakumbuka miaka niliyosoma...
Leo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
Jarida la the sun .limeripot kwamba premier league imetoa nafas kwa bilionea wa Saudi Aribia kuingia ndani ya viunga vya St James’ Park. Ambapo kuingia kwa bilionea huyo itapeleka kufanya club hiyo ya Newcastle kuwa ni mingon mwa klabu tajiri dunia.
Mfuko wa Uwekezaji wa Umma wa Saudi Arabia...
"Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John tajiri mkubwa duniani kwa kuondokew na mke wake àliyefarik kwa ajali ya ndege(private plane) huku...
JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI
(MSANGANO MOMBA)
BY
MSUKU PETER
UTANGULIZI
Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
*Utangulizi*
Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa Kilimo Mkataba kwa mazao tuliyo na masoko nayo. Kwa kuanzia tutaanza na semina ya Kilimo Mkataba...
Wewe kama ni msanii mwenye mafanikio makubwa na uliepata utajiri au fedha nyingi kupitia fani yako, kamwe usijingize kwenye siasa wakati bado uko kwenye chati, bali fanya hivyo pale amapo umri unapokutupa mkono kutumikia fani yako, au pale kiwango chako kinapoanza kuporomoko kwa maana ya uwezo...
DKT. BASHIRU AZITAKA KAMATI ZA SIASA ZA WILAYA NA MIKOA KUWASILISHA MAONI
28 Desemba, 2019
Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amezitaka Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa kuwasilisha maoni yao ya namna ya kuboresha maisha ya wananchi kabla ya tarehe 15 Januari, 2020...
Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho.
Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini.
Mbowe...
"Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji.
"Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja...
Sasa hivi inasemekana Azam Tv ina wateja milioni mbili ( 2000000*18000 = 36,000,000,0000 per month) kwa kingamuzi cha chini ndani ya nchi za Tanzania, Uganda, Kenya, Malawi na anazidi kujitanua nchi zingine.
Bado asset kama nyumba, magari, viwanja, viwanda. Je ni kweli Mo ni zaidi ya huyu mzee...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.
=====
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
Habari za asubuhi wanabodi,
Kumekuwa na mitazamo/ dhana maeneo mengi sana duniani kwamba ili uwe tajiri ni lazima uwe nje ya mfumo huu wa kuajiriwa bali unatakiwa ujiajiri, na wanasema kwamba
'hautakuwa tajiri ' kabisa. Je, kuna mfano wa waajiriwa ni matajiri? Kama wapo tuwataje
Karibuni kwenye...
Ameandika Zitto kupita twitter:
Russian leader boasts he has signed military agreements with 30 African countries this week - accompanied by deals for military helicopters, fighter jets and armoured vehicles
Tweet ya Millard Ayo nayo inasema hivi:
“Ndege nyingine nne zitaendelea kuja nchini...
Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa Msimu huu Yanga SC hasa baada ya Kusikia kuwa Rafiki yake huyo pamoja na Wenzake wa Simba SC leo...
imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako
kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake
lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa
na haya husababishwa na mazingira.
tsh9000tu.
kama vile
kutokwa na chunusi
kutokwa na utangotango
kuwashwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.