Ulishawahi kuwaza kuwa taka za jikoni zinaweza kukupatia kipato kima cha chini laki sita kwa Mwezi?
Naam huu ni uhalisia na si kusadikika, kila siku majumbani kwetu tunazalisha taka hususani upande wa jikoni nazungumzia mabaki ya chakula, maganda ya nyanya, ndizi, kitunguu, mboga mboga ndiyo...