Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana madarasa, maji ya uhakika, umeme na hata makazi mazuri ni kukosa busara.
Hivi kweli Tanesco wanahitaji...
Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC...
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja.
GSM kuona Mipango yao bado haijakaa sawa ili Kuibeba Yanga SC yao sasa wameamua kutumia Mbinu ya Kipumbavu ambayo...
Kamanda wa kupambana na rushwa Hamduni Salum wasaidie sana watu wa Tanga.
Ofisi za TAKUKURU jiji la Tanga wamekua watu wasiotenda haki kwa kutofuata miiko ya kazi.
Wanakua watoa siri hata ukiwaeleza juu ya viongozi wala rushwa wao wanakua washanunuliwa na hao viongozi. Ukitokatu ofisi za...
Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora.
Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo.
Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro.
"Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018.
Manyalika alieleza hayo...
Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema Mkurugenzi atakayefanya ubadhirifu kwa fedha ambazo serikali ilipokea na kutoa kwa ajili ya maendeleo ya taifa na kupambana #COVID19 hawatawahamisha vituo.
Amesema hawatakuwa na mchezo katika fedha hizi, mtu akivurunda atafikishwa katika...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha.
Taarifa...
Straight to the point.
TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:-
1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili.
2) Baada ya usaili...
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui...
Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania?
Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi.
Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8...
DODOMA - JULAI 19, 2021
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12.
Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
TAKUKURU wana majukumu makubwa ya kusimamia mamlaka nyingine kuona haki ikitendeka.
Wamekuwa mstari wa mbele kusimamia haki za wengine ilihali wao hawana chombo cha kusimamia maslahi yao.
Serikali imetangaza kupandisha madaraja kwa watumishi wa umma, kila idara watumishi wamepandishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.