Julai mwaka jana, wakati anawaapisha Manaibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi (SACP) wa Jeshi hilo, Rais Magufuli alisema amepata taarifa za rushwa ndani ya Jeshi la Polisi inayokadiriwa kuwa kati ya Sh bilioni 60 ambazo zililipwa kuwanunulia nguo na vifaa vingine...
Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016)
Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa...
Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji.
Unapohitaji msaada wa uhakiki wasilisha taarifa yako katika jukwaa la JamiiCheck.com ili ipatiwe...
Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11.
Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote...
Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024.
Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu.
Napatkana Dar es Salaam
Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar.
Akitoa tathmini ya hali ya usalama Zanzibar kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2024 huko Makao Makuu ya Polisi...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024.
Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu.
Kwa miaka minne...
Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima.
Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa mwaka.
Kama utagawanya tena hiyo 14,062 kwa mikoa 26 CHADEMA ina wastani wa wanachama 540 kwa kila...
Wanaukumbi.
⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania:
Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo:
•Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa.
1. Simon Msuva
2. Mbwana Samatta
3. Feisal Toto
Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa
1. Aishi Manula
2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa
Soma Pia: Full Time Tanzania 1...
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
Wakuu mpo
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga.
Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi.
Makombe
🏆 1X NBC Premier league
🏆🏆2X FA Cup
🏆 1X Community shield
🏆 1X Toyota Cup
Ushindi wa 5-1 Vs...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
ENEO LA UCHAGUZI
IDADI
CCM
UPINZANI WOTE
CCM PEKEE
MITAA
4,265
4,265
3,256
1,009
VIJIJI
12,274
12,274
5,879
6,395
VITONGOJI
63,863
63,863
20,000
43,863
80,402
80,402
29,135
51,267
Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini zimeelekezwa kutoa taarifa sahihi kuhusu uendeshaji na utoaji wa huduma kwa kuwa taarifa hizo hutumika katika utekelezaji wa mipango ya Serikali inayolenga kuimarisha sekta ya maji nchini.
Maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura...