Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.
Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania.
Tukumbuke watu...
"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania.
Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi.
Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.
Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari...
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
Kampuni ya kukusanya takwimu ya Gallup Inc. iliendesha sensa katika majukwaa mbali mbali ikiwemo mitandao ya kijamii mwaka 2017 juu ya 'sexual orientation' ya wamarekani, na ikabaini kwamba karibu asilimia 5 ya wanawake ni LBT na asilimia 5 ya wanaume wanadabuliwa makalio, hizitakwimu zipo...
Umoja wa Kimataifa (UN) waeleza kuwa Karibu watu 280 wamefariki na wengine zaidi ya milioni 2.8 walioathiriwa na mvua nzito na mafuriko katika ukanda wa Afrika mashariki.
Ofisi ya UN ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema nyumba, miundombinu na makazi ya watu yameharibiwa jambo...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Leo kawaka kwa hasira huku akitupa vijembe vyake na kuonekana kama mtu anayejali soko la wakulima lijiendeshe lenyewe weka demands and supply contrary kwa yale aliyoyafanya kwenye korosho, mbaazi, zabibu na anayoendelea kuyafanya kwenye pamba na kahawa
Kumbe report ya BOT
Inamuumbua, mahindi...
Wao watajua wenyewe na VAR yao,sisi watanzania tunachojua Samatta ana magoli mawili katika champions league,WASITULETEE JANJA JANJA hapa, lile la jana ni goli 🥴 🥴 🥴
Habari za jioni wanajamvi.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimefanya kazi moja leo kupitia tovuti rasmi za National Bureau of Statistics (NBS - http://www.nbs.go.tz), Office of Chief Government Statistician, Zanzibar (https://www.ocgs.go.tz/), Bank of Tanzania (BoT - https://www.bot.go.tz/) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.