takwimu

  1. J

    Je, kutoa takwimu za watu waliokufa kwa matatizo ya kupumua wakati wewe siyo Waziri wa afya inaruhusiwa kisheria?

    Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka. Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee. Sasa najiuliza hawa wengine...
  2. I

    Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  3. Naanto Mushi

    Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!. Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
  4. N

    Rais karibu Tabora; Ombi letu omba takwimu za vyumba vya madarasa na madawati yaliyokamilika

    Mh tunaomba ukifika mkoa wa Tabora omba viongozi wakuambie tangu shule zifunguliwe wametatuaje changa moto ya upungufu wa madawati na vyumba vya madarasa wakikudanganya siye tutasema ukweli, Ni ajabu na aibu sana mkoa ambao una gereza kubwa uyui, una miti mingi ya asili ya mbao watoto bado...
  5. TODAYS

    Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  6. GENTAMYCINE

    Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
  7. mnyawusi

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wekeni takwimu za wapiga kura kwenye website yenu

    Wadau wa JF, nawasalimuni nyote. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020. Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake...
  8. Comrade Mrisha

    Uchaguzi 2020 Msije kusema hamkuambiwa, takwimu ziko wazi hizi CCM kushinda kwa kishindo

    Uchaguzi ni mahesabu na hizo hesabu ndiyo ushindi wa Chama chochote kwenye uchaguzi. Hesabu na namba hazidanganyi. Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jumla ya Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura ni 29,188,347 ambao hawa wataweza kupiga kura siku ya Jumatano Oktoba...
  9. Stephano Mgendanyi

    USHAIRI: Sisi wetu ni Dkt. Magufuli, wengine msitutishe!

    SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE! Tanzania yapendeza Amani yetu yaangaza Uhuru wetu twajivunia Na tisa hamsini metimia Beberu we situtishe Utaipata kasheshe. Wapo wenye inda Nia yao kulivurunda Taifa letu imara Watuletee madhara Tunasema hatukubali Tutawafyekelea mbali. Twatimiza...
  10. E

    The Poorest Countries in the World

    The Poorest Countries in the World (2019-2023)
  11. M

    Uchaguzi 2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  12. TandaleOne

    Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Ni kama ambavyo wakati wote nimesisitiza kuwa Uchaguzi ni maarifa, mipango na akili, hakuna kitu kina guarantee ushindi katika mpambano wa kisiasa kama kuchanga karata zako vyema, na kwa kuitazama CCM chama changu, ni wazi kuwa Viongozi wake na Mgombea mwenyewe amejipanga vyema sana. Leo...
  13. Replica

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  14. S

    Ikiwa ni upumbavu kusema Tanzania kuna COVID-19 bila kuwa na takwimu, basi iwe pia ni upumbavu kusema Tanzania hakuna COVID-19 bila takwimu

    Sio nia yangu kupingana na serikali yangu, lakini acha ukweli uwe ukweli. NIlishasema humu JF kwamba, kama viongozi wetu wanataka tuamini kwamba hatuna tatizo la COVID-19 nchini na hata kuutangazia ulimwengu kwamba hapa kwetu Tanzania tuko salama kabisa, basi angalau kwa wiki mbili mfululizo...
  15. MWALLA

    Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  16. Analogia Malenga

    The Economist: Takwimu za Tanzania zina shida

    MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU KILICHOANDIKWA > Mbali na COVID-19 kupiga nchi jirani ya Tanzania, huku IMF ikitabiri uchumi kushuka kwa 3.2%, Tanzania imetabiri uchumi kukua kwa 5.5% na ripoti ya WB imewapandisha kuwa uchumi mdogo wa kati. > Ni rahisi kuona upotoshaji wa takwimu kwa kuwa kuna anguko...
  17. J

    Tatizo la Waraka wa shehe Ponda ni zile takwimu hazina uhakika na ni kinyume na sheria

    Sheria ya takwimu ina kipengele kimoja kimekaa kimtego sana. Kwamba takwimu unazozitoa kwa umma uwe umezipata kwa chanzo kinachoaminika chenye uhalali wa kutoa takwimu hizo kwa mujibu wa sheria. Sasa kusema uwiano wa uteuzi ni 80% kwa 20% kwa dini zilizopo.....hii ina utata. Kwanza Tanzania...
  18. mimitungi

    Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

    The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
  19. Jidu La Mabambasi

    Uchumi wa kati: Tuwe waangalifu na takwimu, figures can lie!

    Nimefuatilia kwa karibu huu mjdala wa World Bank kuitaja Tanzania kuwa nchi ya kipato cha wastani wa $1080 kwa kila mtanzania. This can be misleading. Hapo kuna mchezo wa hesabu ambao Watanzania wengi hawataelwa na kuona ukweli wa hai halisi. Tatizo la hesabu za wastani ni kutochukulia ukweli...
Back
Top Bottom