takwimu

  1. Greatest Of All Time

    Guardiola: Kuna wachezaji wanafanya timu zicheze vizuri lakini hawapo kwenye takwimu

    Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist nyingi. Hebu tuwataje wachezaji ambao Guardiola alijaribu kuwamaanisha! Mimi naanza na Joshua Kimmich...
  2. Doctor Mama Amon

    Takwimu za uhalifu Tanzania: Mauaji ya watu yanaongoza tangu 2016 hadi 2020

    Rais SSH na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Kwa mujibu wa utafiti wa Kitengo cha takwimu cha Taifa wa mwaka 2020, yaani NBS, takwimu za uhalifu nchini Tanzania zinaonyesha kuwa katika makosa ya jinai dhidi ya bnadamu, uhalifu wa mauaji unaongoza tangu 2016 hadi 2020. Takwimu hizo ni kama...
  3. Escotter20

    Mayele ndiye aliyewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita

    📩 Mayele ndiye alitewapa ubingwa As Vita club msimu uliopita kwa kufunga magoli (14) kwenye ligi, alizidiwa goli moja tu na Jean Baleke wa Tp Mazembe (15). 01. ⚽ v DTB football club. 02. ⚽ + 🎯 v Friends Rangers. 03. ⚽ v Pan African football club. 04. ⚽ v DTB football club. 05. ⚽ v...
  4. Kijakazi

    Takwimu za Uchumi wa Mikoa hazina maana kama Mikoa haijitegemei

    Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba? Kwangu mimi ingeleta maana kama...
  5. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

    Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC) Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC) Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC) Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba...
  6. M

    Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

    Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi. Magufuli aliacha deni la $24,652M Alilikuta deni ..... $15,261M Samia amelikuta deni .. $24,652M Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054 https://www.bot.go.tz/Publications/Filter/1
  7. Extrovert

    Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

    Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi...
  8. GENTAMYCINE

    Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

    Kibu Denis Mechi 7 Magoli 4 Fiston Mayele Mechi 10 Magoli 3 Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  10. Frumence M Kyauke

    Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  11. Venus Star

    Takwimu za Yanga msimu uliopita Round ya kwanza

    Hawa yanga aka UTOPOLO tulishawazoea na kelele zao za mwanzo wa ligi. Ndio muda wao wa kufurahi na kupiga kelele. Hii ni kawaida ya chura kuzomea kupiga kelele ili Mnyama wasiweze kunywa maji. Kweli tabia ya chura imewaingia vizuri washabiki wa UTOPOLO. Hii hapa ni takwimu za list season...
  12. Jaji Mfawidhi

    Ndoa Zinavyovunjika Dar/mikoani: Takwimu zinatisha

    Takwimu za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), mwaka 2020, zinaonyesha kuwa wakala ulisajili talaka 511 Tanzania nzima kati ya hizo 221 kutoka Dar es Salaam pekee. Idadi hiyo ni ongezeko la talaka 69 ikilinganishwa na talaka 442 zilizosajiliwa mwaka 2019. Msajili wa ndoa na talaka wa...
  13. mugah di matheo

    Mo Dewji, Bakhresa, Rostam na takwimu za forbes, kipi kimejificha?

    Habarini za muda huu Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tanzania? Wengi walisema ni Mo Dewji wengine SS Bakhressa Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wa kwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa...
  14. M

    Takwimu hazidanganyi: Feisal vs Miquissone

    Kwani Nani alistahili kuchukua hi tuzo
  15. N

    Takwimu za Boomplay kuingizwa kwenye chati ya Billboard

    Dar es Salaam. Boomplay imetangaza rasmi kuwa, sasa itaingiza takwimu za wasanii wa Afrika katika chati maarufu za Billboard. Chati hizo ni kama Billboar Hot 100, Billboard 200, Artist 100 na Billboard Global 200, na pia chati zingine zote za Billboard Marekani na kimataifa ambazo zinajumuisha...
  16. M

    Msitutoe kwenye habari iliyopo mjini kwa sasa ya Yanga kuangukia pua asubuhi mapema caf champions league kwa kutuletea takwimu zilizopitwa na wakati!

    Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
  17. M

    Watu wa Simba SC na nyie mmekuwa kama Washamba wa Yanga SC kulalamikia Takwimu za Bodi ya Ligi?

    Hivi Yanga SC ikiongoza kwa Takwimu, Kujaza Watu au Kuuza Mijezi Misukule na Mikaragosi yao huku wakiwa hawachukui Vikombe na tunawafunga katika Mashindano muhimu nani mnadhani Kimantiki ndiyo anaonyesha kuwa na Tija hasa? Yaani wana Simba SC leo hii mmesahau kuwa Yanga SC ni Washamba? Hivi...
  18. Mwanamaji

    Takwimu zinazungumzia watazamaji (Spectators) "akina sisi" tunazungumzia washabiki (fans), kuna shida mahala

    Takwimu zilizotolewa na bodi ya ligi hapo jana zilihusu idadi ya watazamaji (Spectators) waliohudhuria katika mechi za nyumbani za vilabu vya ligi kuu kwa msimu ulioisha. Takwimu hizo zimetokana na idadi ya tiketi zilizouzwa katika mechi hizo na timu ya Yanga imeongoza kupata pato kubwa...
  19. Shark

    Hizi Takwimu Zina Walakini

    Wakuu Kwema? Kuna Takwimu zimetolewa na TFF zikionyesha mambo mbalimbali yaliyotokea msimu ulioisha ikiwemo Timu iliyoingiza mapato mengi, Uwanja Ulioingiza Mashabiki Wengi, Timu yenye Mashabiki Wengi, etc. Binafsi naweza nisiamini sana juu ya Mapato Kwa kila Uwanja au Mapato Kwa Kila Timu...
  20. T

    Serikali imeahidi shirika la Fedha Duniani, IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za wagonjwa wa covid na vifo kila wiki kuanzia mwishoni mwa Septemba

    Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo. Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
Back
Top Bottom