Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!!
Match stats...
Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13
Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
Matokeo ya darasa la saba yanaonyesha wanafunzi walioanza std 1 mwaka 2016 walikuwa 1,38692. Waliosajiliwa kufanya mtihani wa la saba mwaka 2022 ni 1,384,186. Ni kama watoto 2,406 ndiyo walikwama njiani.
Lakini takwimu nyingine zinaonyesha mwaka 2016 Std 1 kulikuwa na watoto 2,120,667. Kwa...
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.
Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye...
Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.
Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130
Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni...
Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili
Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga...
Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi...
Tatizo la kulawitiwa kwa watoto linalizidi kushika kasi nchini huku idadi ya visa vilivyoripotiwa kwenye kipindi cha mwaka 2016-21 vikiwa ni 5716 huku 87% ya visa hivi vikihusisha watoto wa kiume.
Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo-
Mwaka 2016, wasichana walikuwa 50 na wavulana...
Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani.
Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
HEALTH
10,040,329 Communicable disease deaths this year
386,203 Seasonal flu deaths this year
5,878,813 Deaths of children under 5 this year
33,071,878 Abortions this year
239,055 Deaths of mothers during birth this year
44,005,025 HIV/AIDS infected people
1,300,169 Deaths caused by HIV/AIDS...
Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi.
Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume.
Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume
Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.
Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.
Kilichonishangaza na Kunimaliza...
Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna mipaka wala haujaeleweka kikamilifu. Bado kuna mambo mengi ambayo hupatikana kwa kushtukiza au yapo...
Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
Kamishina Mkuu wa Sensa Spika Mstaafu Anne Makinda....
"Sensa itamalizika tarehe 31 August, 2022"
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Chuwa....
"Sensa itamalizika tarehe 29 August, 2022"
Matangazo ya Media za Tanzania....
"Sensa itamalizika tarehe 30 August, 2022"
Mheshimiwa Rais wa Tanzania...
Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.