takwimu

  1. Dalton elijah

    Takwimu zinaonyesha kati ya watu wote wanaoishi Tanzania asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano

    Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
  2. S

    Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  3. Dalton elijah

    Serikali kujipanga kupitia takwimu za sensa kiuchumi na kijamii Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
  4. jastertz

    Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

    Habari wana JF! Natamani kufanya kazi kwenye private company au NGOs. Nina BSC. STATISTICS. Nimezitafuta sizipati. I work under minimum supervision.
  5. technically

    Takwimu za mayele 2022/2023 zinaogopesha

    Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚
  6. comte

    Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  7. K

    Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

    Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa. Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa. Kuna mawazo ninayo kwa serikali lakini ningependa nipate kwanza hizi data ni kwa faida ya wote. Pascal Mayalla
  8. I

    The Top 10 African Countries with the Best GDP Data Quality Ratings in 2023: An Overview by World Economics

    The legitimacy of data, regardless of scale or function cannot be overstated. It is paramount that accurate data is made available to the public and primary stakeholders, in order for development to take place, particularly when it comes to public data. ======= Business Insider Africa...
  9. F

    Takwimu za MOI zinaonesha Lema yupo sawa kuhusu "laana" ya bodaboda

    Godbless Lema hakueleweka na watu kwa kauli yake kuwa kazi ya bodaboda ni laana. Lakini ukiangalia takwimu kutoka taasisi ya mifupa Muhimbili utagundua Lema ana point. Hapo ni Muhimbili tu, nchi nzima ni zaidi ya vijana 1500 huumizwa vibaya kwa mwezi sawa na zaidi ya vijana 15,000 kwa mwaka...
  10. Lupweko

    Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

    Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261. Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine...
  11. OLS

    2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu

    Nisiwe mchoyo wa takwimu na data mzee wenu niliyejizika kwenye takwimu. Ndugu zangu 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu. Hizi ni takwimu za NBS ndugu zangu 'The 2021 Social Institutions and Gender Index (SIGI) - Tanzania Survey Report' Aidha wengi sana wanaachana kwa ugomvi badala ya...
  12. SYLLOGIST!

    Je, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina wajibu wa Kutoa Tamko kuhusu Usambazaji wa Takwimu zilizo bandikwa mitandaoni?

    Wakuu, Wahusika, Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa. Mada: Katika kile nilchokiona kamaa ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya...
  13. ChoiceVariable

    Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

    Habari zenu wanabodi.. Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa. Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu...
  14. BARD AI

    IFFHS: Ligi Kuu Tanzania ni ya 5 kwa Ubora Afrika na ya 39 Duniani

    Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022. NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia. Misri inaongoza kwa Ligi bora...
  15. comte

    Kwa takwimu zilivyo na kwa hulka ya CHADEMA hakuna aliye hai leo atashuhudia CHADEMA inatawala nchi hii

    Harakati za CHADEMA kwenda ikulu na kupata nafasi ya kutawala nchi hii hazitakaa zifanikiwe sababu walianza na mguu mbaya. KWANZA - Kuweka misingi yao kwa kubadirisha wanaharakati na uanaharakati kuwa wanasiasa na siasa. huu mchakato huchukua mda mrefu kufaniakiwa. PILI - Kushobokea siasa za...
  16. Victor Mlaki

    Takwimu zinaonesha yapo mambo ya kuipongeza Serikali na yapo ya kuisaidia ili tupige hatua zaidi

    Kwa mujibu wa takwimu za Nguvukazi na soko la ajira Tanzania (Bara na Visiwani) mwaka 2021/2022 lipo jambo ambalo tunapaswa angalau kuona jitihada na kulisema kwani ni hatua ya kuonesha jitihada za makusudi kufikia lengo. Takwimu zinaonesha umasikini Nchini Tanzania ulishuka kutoka asilimia...
  17. BRN

    Takwimu: Baleke vs Musonda

    Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao. Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao. Yalisemwa mengi na wahasimu...
  18. John Haramba

    Takwimu zaonesha kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa kupooza

    Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  19. JanguKamaJangu

    WHO yaitaka China kutoa takwimu za UVIKO-19

    Tamko hilo la Shirika la Afya (WHO) limetolewa baada ya Nchi kadhaa kuanza kuweka vikwazo na masharti mapya kwa wasafiri wanaotoka China hivi karibuni. WHO wamesema wanahitaji kujua takwimu za waliolazwa, walio katika hali mbaya, vifo na matumizi ya chanjo, hiyo ni baada ya China kuamua...
  20. Dr Akili

    Kwa kukokotoa tukitumia takwimu za sensa, TSh 30,000 kwa kaya kwa Bima ya Afya kwa Wote inawezekana

    Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian. Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
Back
Top Bottom