Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo.
Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na...
Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni.
Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi.
Ndio ukweli,
Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM.
Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi
1> Wahudumu
2>Wanywaji
Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara.
Sasa piga mahesabu...
Akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Agosti 31, 2023, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa amesema mchakato wa Sensa uliopita umekuwa na mafanikio makubwa na haijawahi kutokea kuwa na ushirikiano wa juu...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA
Utangulizi
Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
UTANGULIZI.
Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali.
Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na sijawahi kuelewa kwa vigezo vipi.
Najua wengi wana refer mechi ya Simba na Yanga nadhani itakuwa ya...
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba...
Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa?
UEFA Champions League
5 Karim Benzema (Real Madrid)
5 Dani Carvajal (Real Madrid)
5 Luka Modrić (Real Madrid)
5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid)
4 Gareth Bale (Real Madrid)
4 Casemiro (Real Madrid)
4 Andrés Iniesta...
Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1
Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48
Mimi niombe...
Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....
1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara
Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?
Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo:
Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki.
Takwimu hizi ni...
Mayele Vs Peter Shalulile Stats .
Dstv PL
🇳🇦 Peter Shalulie mabao 12
NBC PL
🇨🇩Fiston Mayele mabao 16
🇳🇦Shalulile CCL mabao 5
🇨🇩Fiston Mayele CAFCC mabao 6
So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.
Kutokana na ongezeko la watu duniani na shughuli za kiuchumi na kijamii, kelele zimeendelea kuongozeka kwenye makazi ya watu na maeneo ya biashara na hivyo kusababisha madhara mbalimbali kwa binadamu na mazingira. Madhara hayo ni pamoja na kupoteza usikivu (hearing loss); kuondosha utulivu...
KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH.
CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio??
Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne kwenye orodha ya wafungaji akiwa nafasi ya pili nyuma ya Washambuliaji kama Peter Shalulile wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.