takwimu

  1. J

    Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

    [ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
  2. Expensive life

    Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  3. I

    Nimeangalia takwimu za matokeo kidato cha sita, somo la physics hali ni tete. Shida iko wapi?

    Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve. Bado namkumbuka mwalimu wangu...
  4. Nyankurungu2020

    Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  5. hamis77

    Je, kwa takwimu hizi, Ki Aziz ni mchezaji mzuri au wa kawaida?

    WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE PROFILE STEPHANE AZIZ KI. ▪️Name - Stephane Ki Aziz ▪️Date of birth - March 6, 1996. ▪️Citizenship - Burkinafaso ▪️Position - Attacking midfielder ▪️Age - Twenty six years old ▪️Height - 1,75 Meter Ki aziz...
  6. Mpwayungu Village

    Takwimu za tozo za miamala mbona hatupewi tena kulikoni

    Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu. Mbona kimya tena hatusikii...
  7. J

    Waziri Mwigulu ziangalie vizuri takwimu zetu za uchumi tusije kupata tabu mbele ya safari

    Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi. Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana. Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za uchumi wetu. Hasa takwimu za kilimo, Dunia inanyemelewa na balaa la njaa.
  8. OLS

    NBS na takwimu za utalii nchini

    Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao. Maoni yangu: Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema...
  9. L

    China yatoa takwimu mpya za viumbe anuai

    China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China. Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha ya mwaka huu imeongeza spishi 10,343 ikilinganishwa na ya mwaka jana, na kufanya jumla ya spishi kuwa...
  10. Poker

    Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

    Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
  11. mitale na midimu

    Hivi takwimu za nani anamiliki silaha zipi na kwa kiwango gani tangu lini nani huwa anazihakiki?

    Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana. Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote ikiwemo Idadi Uwezo halisi Muda wa kumfikia. Etc Kinachonishangaza. Katika media ambazo Nazi sio za...
  12. Lycaon pictus

    Hayati Magufuli alikuwa anaheshimu sana takwimu

    Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri. Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme...
  13. and 300

    Social Media Vs Maambukiz ya UKIMWI kwa vijana?

    Kumekuwepo kwa social media platforms na Apps za kueneza ngono hasa kwa vijana Badoo, nairobiraha, insta, Grindr je Kuna jitihada zote za kupunguza Maambukiz kwa vijana. Maana vijana wanaloweka bila kinga. Na Kampeni za Kujikinga na UKIMWI zimesahaulika kabisa. Tunaandaa taifa la waathirika...
  14. JanguKamaJangu

    #COVID19 WHO: Walioambukizwa Uviko-19 Afrika ni mara 97 ya takwimu zilizopo

    Inaelezwa kuwa mbili ya tatu ya watu waliopo Afrika wameambukizwa Ugonjwa wa Uviko-19 ndani ya miaka miwili, ikiwa ni mara 97 ya takwimu zilizoripotiwa na mamlaka husika. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Taarifa hiyo iliyotoka wiki hii inaonyesha kuwa maambukizi...
  15. 0ozg Tz

    Toka Azam TV ianze kuonesha ligi ya Tanzania, imepelekea kupunguza mashabiki wa ligi za Ulaya

    Kwa jinsi hali ilivyo sasa ya kimpira hapa kwetu, hasa katika mazingira ya vibanda umiza, kwa kuangalia mashabiki wa hizi timu mbili kubwa hapa Bongo. SIMBA Kwa msimu huu wa 2021/22 hasa siku za hivi karibuni, mashabiki wa Simba wameanza kupungua kuhudhuria mechi za Simba, hasa hasa inapokuwa...
  16. MK254

    Hizi hapa takwimu za hasara aliyopata Putin na Urusi, vifaru 684 vilifyekwa kwenye msafara

    Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported that Russia also lost 684 tanks, 1,861 armored personnel carriers, 1,324 vehicles, 332 artillery...
  17. BigTall

    Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  18. Donnie Charlie

    Takwimu na Masoud Kipanya

    Kwa maana hii mtalii akienda Kilimanjaro, Mikumi nk wanahesabika ni zaidi ya mtalii mmoja.
  19. K

    Kwa Takwimu hizi, nalazimika kuamini Zanzibar hawana tatizo la Ajira

    Poleni na majukumu wakuu na hope mko na afya njema, wanaosumbulia na maradhi namuomba mwenyezi MUNGU awaponye na warudi kwenye hali zao za kawaida. Basi bhana! Wazo la kuandika uzi huu limekuja baada ya kuingia huko ajira portal nikiwa ninadhumuni la kuangalia matokeo ya written interview ya...
  20. Maulaga59

    Sensa 2022 ingeratibiwa na mabalozi wa nyumba kumi ingeleta takwimu sahihi zaidi ya zitakazotolewa na maafisa watakaopita nyumba kwa nyumba

    Najaribu kuangalia changamoto wanazopata maafisa wa sensa wanaotumwa na serikali katika kukusanya taarifa muhimu za idadi ya watanzania. Ukweli ni kwamba kwa sababu ya mazingira ya Tanzania yalivyo kijiografia ni vigumu sana hawa maafisa kuweza kupata takwimu sahihi za kusudio lao. Kuna sehemu...
Back
Top Bottom