Mtu kwao,
Mama anaungana na ndugu zake, jamaa na marafiki wa kwao kusheherekea na kuzindua miradi ya maendeleo.
Mnaeonda muende salama na mrudi salama majumbani mwenu.
1. Pesa nyingi kubaki/kuingia Zanzibar/Kizimkazi hivyo wananchi wataneemeka(tatizo sasa % kubwa ni wavivu balaa watu wa...