tamasha

Tamasha (Marathi: तमाशा) is a traditional form of Marathi theatre, often with singing and dancing, widely performed by local or travelling theatre groups within the state of Maharashtra, India. It has also been the subject of several Marathi films. Some Hindi movies have also included Tamasha-themed songs, known as Lavanis, in the past.
Traditional Tamasha is influenced by many Indian art forms and draws from such diverse traditions as kaveli, ghazals, Kathak dance, dashavatara, lalit and kirtan. There are two types of Tamasha: dholki bhaari and the older form, sangeet baari which contains more dance and music than drama. In Maharashtra, the Kolhati groups are traditionally associated with the performance of Tamasha.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Tamasha la Dakar la kila baada ya miaka miwili la Sanaa za Kisasa za Kiafrika lafanyika

    Tamasha la Dakar la kila baada ya miaka miwili la Sanaa za Kisasa za Kiafrika lafanyika.
  2. L

    Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  3. A

    Tamasha kubwa la Wavuvi laja

    Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
  4. sinza pazuri

    Napendekeza liandaliwe tamasha la kuchangia matibabu ya Professor Jay

    Napendekeza wadau wa sanaa pamoja na familia ya Professor Jay wakae chini waandae tamasha la kukusanya pesa za kusaidia matibabu ya Professor. Jay sio tu ni msanii mkali lakini pia anaishi vizuri sana na jamii yake...Ni yule brother fulani hanaga noma hana makuu anaishi vizuri na wadau wote...
  5. L

    Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika

    Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika Leo Tarehe 31 Januari mwaka 2022 ni siku ya mkesha kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa jadi kwa kalenda ya kilimo ya China, ambao rasmi unaingia tarehe Mosi Februari. Kwa utamaduni wa China, mwaka huu mpya utakuwa mwaka wa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

    Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao. Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
  7. J

    Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  8. Frumence M Kyauke

    Erick Omondi awataka mashabiki kutohudhuria tamasha la Alikiba na Harmonize

    Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa kwenye orodha ya wasanii watakotumbuiza siku ya tarehe 11 na 12, mchekeshaji Eric Omondi amewaomba mashabiki kutohudhuria kwakile anachodai kwamba wanamuziki wa...
  9. Yesu Anakuja

    Tamasha la Muziki na kuabudu TAG

    Juzi Ijumaa nilibahatika nikawa Dodoma, kichwa kilikuwa kimechokaaa kwasababu nilienda Dodoma msibani, pia homa kali ilinianza ghafla, nikaazimia moyoni leo naenda kulala kanisani. yalipita magari yanatangaza kuwa kuna tamasha la muziki chuo cha Biblia kule mipango, nikaenda. nilikuwa na kiu ya...
  10. Determinantor

    Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
  11. Christopher Wallace

    Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  12. Erythrocyte

    Fally Ipupa hana thamani kubwa kama ambacho waandaaji wa Tamasha lake wanataka kuwatoza wadau

    Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana. Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama hii na kwa viwango hivi haiwezekani Wasio na hela(seat): 100,000 VIP Table ...
  13. Suley2019

    Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  14. Mgibeon

    Tamasha la Franco Luambo Luanzo Makiadi Grand Master( Grande Maitre) Dar es Salaam- Early 1970's

    Moja ya matukio makubwa na ya pekee yalopata kutokea uwanja wa uhuru ambao enzi hizo uliitwa uwanja wa taifa Ni s tamasha la hayati Franco, mwamba wa muziki wa rhumba, katika tamasha hilo watu walikanyagana katika harakati za kuingia uwanjani na Kuna mtu alipoteza Maisha papo hapo. Kwenye...
  15. K

    Yanga Day 2021: Tamasha la Koffi Olomide kufana leo Uwanja wa Mkapa

    Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo. Vile vile Club ya Yanga...
  16. Determinantor

    Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  17. Linguistic

    Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  18. B

    Tamasha (Indoor & Outdoor)

  19. isajorsergio

    Tamasha la kwanza la muziki kufanyika anga za mbali | International Space Station

    Elon Musk (Space X), NASA, ESA, Cercle na Arianespace wameanda tukio la kwanza la muziki mubashara kutokea kituo cha kimataifa cha anga International Space Station - ISS. Tukio hili linatarajia kufanyika Jumatatu ya tarehe 5 AprilI, 2021 litakalo wahusisha wanamuziki Daft Punk kutoka Ufaransa...
  20. L

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa Wachina nyumbani na nje. Ni alama muhimu ya kujumuika kwa familia

    Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki. Tamasha hili huleta kumbukumbu nyingi kwa wachina wote, nyumbani na nje ya nchi. Likiwa na maonyesho kama ngonjera, mchoro mfupi...
Back
Top Bottom