Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila la Wamiao, ambayo inaashiria afya na maisha marefu, uadilifu na urafiki, bidii na ujasiri, na...