Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria )
Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa...
TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023
======
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari.
Aidha, idadi ya watumishi...
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri.
Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako?
Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na...
Mwaka wa fedha 2020/21
Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo.
Halmashauri zilizopata Hati...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka husika.
Na basillamwanukuzi
Hongera sana @dndejembi kwa kuamniniwa na Rais kua Naibu Waziri...
Habari za jioni wana JF?
Kuna kitu katika teuzi na reshuffle za jana ambacho naona media na wana social media hawajaweza kukikamata( ku capture).
Kitu chenyewe ni uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu Dr. Franklin Rwezimula kwenda WEST(wizara ya elimu, sayansi na teknolojia) kushughulikia elimu ya...
Miradi hii nimeanza kuisikia tangu awamu ya tano,tuliambiwa itatekelezwa katika miji 45,huku ikihusisha ujenzi wa stendi, masoko,barabara,bustani,machinjio,na maegesho ya maloli.
Lakini hatuoni utekelaziji wake,na kumekua na ahadi nyingi kwamba mradi utaanza mwezi fulani,lakini mpaka sasa...
Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.
Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta?
Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua chanzo au wameamua tu kuendesha msako bila kujua sababu ni nini hasa inayowakwamisha wazazi/walezi...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni.
Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
Nikiwa natembea mitaa ya mji leo siku ya sikukuu nikawa nimejionea ni jinsi gani serikali imegharamia kutengeneza miundombinu na mazingira ktk miji yetu ili iwe safi na salama kwa wakaaji
Lakini juhudi hizo za serikali zinaishia kudumu kwa muda mfupi sana kwani utunzaji wa hiyo miundombinu...
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni.
Taarifa iliyotolewa na Tamisemi imesema, Profesa Shemdoe ametoa agizo hilo...
Tuition nyumbani
Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada.
Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi.
PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm.
0622374787 or PM to get my email
Wasalaam wanajukwaa!
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Nataka kutuma ujumbe kwa wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Waziri wa TAMISEMI Ndg Angela Kairuki, Katibu mkuu wa TAMISEMI,Mkuu wa mkoa wa Singida ndugu Petter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jery Cornel Muro ya kwamba Pesa...
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.