tamko

  1. Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  2. Wajumbe mtakaochagua Mbowe mtafanya kazi na nani ikiwa kila mwanachama anamtaka Lissu?

    https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=p2kxWopIgVxceR8x Wajumbe wenye sifa za kupiga kura kumbukeni mnawakilisha wanachama wa maeneo mnapotoka. Chagueni kulingana na matakwa ya wanachama badala ya kuangalia njaa zako. Wanachama kutoka kila kanda wameshatoa matamko ya kumtaka Tundu Lissu, sasa ole...
  3. Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Anatoa Tamko Muda Huu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla. https://youtu.be/zgoZejCXR1M
  4. M

    Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  5. Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Natoa wito Kwa jumuiya na taasisi zote za kikristo, kujumuisha TEC, CCT, CCPT n. K kupinga mdahalo utakaongozwa na shehe wa kihindi uwanja wa Taifa, uliopewa jina la Jesus vs Muhammad Yaani hizi taasisi zimefanya vyema kupinga mambo ya ovyo kisiasa, Sasa zikikaa kimya Kristo akidhalilishwa...
  6. M

    Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

    Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014. https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
  7. TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  8. S

    Pre GE2025 Viongozi wa mikoa wa Kanda ya Pwani wanaomuunga mkono Tundu Lssu wanatoa tamko muda huu

    MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO  TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU KUWASIKILIZA https://t.co/ZqIQkJEQLF Chanzo: Joel Msuya X account.
  9. Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  10. TLS yamchamba Ndumbaro, yasema inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni na haijawahi kukurupuka kwenye matamko yake

    TLS [Chama cha Wanasheria Tanganyika] kikiongozwa na rais wake Machachari Boniface Anyunywile Mwabukusi kimetoa tamko ambalo kwa vijana wa kijani wanaona kama ni kuchamana na Ndumbaro. chama hicho kimeelezea kusikitihwa na kitendo cha Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria kukabishi gari la...
  11. Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  12. Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  13. M

    Tunasubiria Tamko la Lema kuhusu Lissu

    Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile. Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu...
  14. Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  15. LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  16. D

    Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  17. Q

    Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  18. LGE2024 ACT Wazalendo yatoa tamko kuhusu Erick Yugalila Venance kushambuliwa

    Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana. TUKIO LA SHAMBULIZI Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuujulisha umma kuhusu tukio la kusikitisha lililotokea ambapo Katibu wa Jimbo la Igunga Ndugu...
  19. LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  20. LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…