Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..?
Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka.
Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini.
Wakizungumza katika ziara nchini ya kujifunza namna Mfuko wa Jimbo unavyofanya kazi na kutembelea miradi...
Halo JF siasa.
Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe.
ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia.
Unafanya uchaguzi kujidanganya...
PAROKIA YA MT. MIKAELI KAWE, DAR ES SALAAM
Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki
Tarehe 04 Novemba 2019
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, Juda Thaddeus Ruwaichi, ambaye ndiye Askofu mwenye mamlaka na Paroko wa Parokia ya Kawe...
Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.
Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.
Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.
Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
U.S. Embassy Tanzania
Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania
Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.