May 18, 2020
Onesmo Ole Ngurumwa mratibu wa asasi za kiraia.
Mwaka 2015 Asasi za kiraia zilishiriki kwa ukamilifu kabisa kutoa elimu ya uraia kupitia TWAWEZA, REDET UDSM, TEMCO , vyombo vya habari AJM , LHRC , Taasisi za Dini , Polisi n.k
Mwaka 2020 uchaguzi unakaribia kuna changamoto kubwa...
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
Mhe. Lameck Okambo Airo ni Mbunge wa Rorya kwa awamu mbili toka 2010 -2020.
Mwaka jana aliutangazia umma kuwa atastaafu Ubunge na hatagombea tena katika uchaguzi ujao wa 2020. Wenzako tayari wamekwishautangazia umma kuhusu kung'atuka kwao 2020 lakini pamoja na kuutangzia umma mwaka jana kuwa...
Viongozi wengi wa Mataifa mengi ( Barani Afrika, Ulaya, Marekani na hadi Asia ) nimeona wakiweka Ukomo katika Matamko yao hasa juu ya hili Janga baya la CORONA ( COVID-19 ) ila nasikitika Viongozi wa Mataifa mengine wamekuwa wakitoa tu Matamko yao pasi na Kuwaeleza Wananchi ni lini kutakuwa na...
Tamko la Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Ugonjwa wa Corona
Ndugu Watanzania
A: Utangulizi
Dunia imekumbwa na ugonjwa wa Covid - 19 (maarufu zaidi kama Corona). Nchi yetu kama sehemu ya dunia haijasalimika na kadhia hii. Machi 2, 2020 wakati nikitoa hotuba yangu kwenye kikao cha...
Sera ya afya ya 2007 imekiri kuwa takribani asilimia sitini ya wananchi huanza kutumia tiba asilia wanapopatwa na maradhi kabla ya kwenda vituo vya kutolea huduma za afya. Aidha, hivi karibuni tiba mbadala imepata umaarufu miongoni mwa wananchi kutokana na uimarikaji wake duniani. Kadhalika...
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.
====
Updates
“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.
“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu?
Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi.
Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC?
Ningekuwa...
Jamani tunaomba muendelezo wa Yale matamko ya uhujumu uchumi yaendelee huko Lindi leo wafanyakazi wa Azam media walishindwa kufanyakazi na kuchelewa safari yao kutokana na barabara ya wilaya ya Ruangwa kuwa na makorongo, tope, sasa naomba wale makamanda wa matamko mkuje huku haraka video hii kwa...
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbuga zilizopo nchini...
Baadhi ya wazee wa Kigoma siku ya leo mbele ya waandishi wa habari wametoa tamko kulaani vitisho vya mauaji vilivyotolewa ndani ya bunge na mbunge Bulembo. Bulembo alitoa kauli hiyo na kutoa wito wa zitto kuuawa kwani ni msaliti kwa nchi.
Kauli ya bulembo ilishangiliwa sana na wabunge wa CCM na...
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba...
Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi
Marekani wamesema wanao...
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.
Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema...
Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?.
Bunge letu naliomba litoe tamko...
Mayor Issaya Mwita anaandika...
Na Issaya Mwita.
Mayor wa Jiji la DSM.
Marafiki zangu nawashukuru kwa maombi na dua zenu
Kuna watu wengi hawakumuelewa hakimu kwa maamuzi yake ile jana
Nilifungua kesi 6/01/2020... Siku ya Jumatatu, katika maombi yangu nilimtaka hakimu anipe mambo mawili
1...
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo;
Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya...
Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me sijafanya kosa lolote kwanini kuzungumzia kwangu na kukea matendo ya usagaji, ushoga na ufiraji ninaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.