Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020
Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima.
Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote.
Hakuna jiwe...
Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa msimamo wake kuhusu Rais John Magufuli kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa msikiti akiwa kanisani, likieleza kuwa kitendo hicho ni cha uzalendo, upendo na uungwana.
Nipashe
Atakayewalaumu Waislamu kwa hili nitamshangaa sana kwani kama...
Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM.
Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Pia soma:
Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora
Tetemeko dogo...
Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana wasahau ya Lowassa
Sasa Kama Hana na wajumbe wengi wanagombea udiwani na ubunge Ina maana akienda...
Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...
Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi.
Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona.
Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari.
Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi.
Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
June 8, 2020
Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) Tanzania Truck Owners Association :: Home wameonesha masikitiko yao kwa nchi jirani na Tanzania kufuatia muendelezo wa kuzuiliwa madereva wa malori wanaotoka Tanzania kuvuka mipaka kwa madai ya kuwa madereva hao wana maambukizi ya...
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.
Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:
Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
Au nyie wenzetu mna kinga zenu binafsi,Lakini huu si ndio muda mubashara wa kuonnesha uwezo wenu jamani na kujipiga promo. Mimi siamini km hii kitu mmekosa ufumbuzi au bado mpo maabara,aaaaah! Jamani hata br. Mshana umetuchunia kabisaaa,km haupo vile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.