tamko

  1. Francis12

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  2. I am Groot

    Tamko la kimataifa la haki za binadamu -:( Sehemu ya 2)

    IBARA YA 16: (1)Wanaume na wanawake waliotimiza umri wa utu uzima, bila kujali uasili, uraia au dini wana haki ya kuoa na kuolewa na kuanzisha familia, wanapaswa kuwa na haki sawa katik ndoa.wakati ndoa inaendele au ikivunjika. (2)Ndoa itafungwa tu pale wanandoa watakapokuwa wamekubali kwa hiari...
  3. I am Groot

    Je, unazifahamu vizuri haki zako kama binadamu? Tamko la kimataifa la haki za binadamu -LHRC ( sehemu ya 1)

    Binadamu wote wamezaliwa na haki sawa na uhuru wa kimsingi. Katika tamko la haki za binadamu, umoja wa mataifa umeeleza kwa lugha rahisi kabisa haki ambazo zinampasa kila mtu kuwa nazo na kwa usawa. Hizi haki ni zako. Haki hizi ni mali yako, zijue haki hizi, saidia kuzieneza na kuzitetea kwa...
  4. Mtukudzi

    Uchaguzi 2020 Tamko la chama cha Julius Malema wa EFF juu ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu. Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
  5. jingalao

    Uchaguzi 2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote. Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba...
  6. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
  7. Sky Eclat

    Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

  8. Sky Eclat

    Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

    "Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha...
  9. Sky Eclat

    Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

  10. Chizi Maarifa

    Uchaguzi 2020 NEC, ZEC na CCM hili tamko linasubiriwa na Watanzania wote. Mnatoa saa ngapi?

    Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi. Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
  11. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Tamko la Tume ya Haki za binadamu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Watanzania wote waliotimiza vigezo kwa mujibu wa sheria, wanatarajia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Hatua hii muhimu imefikiwa baada ya kukamilika kwa mchakato wa miezi kadhaa uliohusisha hatua za uhuishaji wa madaftari ya kudumu...
  12. B

    Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHADEMA Chato waeleza kuwa hawajaapishwa

    21 October 2020 Chato, Geita Tanzania Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais 2020 John Pombe Joseph Magufuli ambaye anawania nafasi hiyo kupitia chama cha CCM. Source: Swahili Villa
  13. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka. Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo. Video hii hapa ==== SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais...
  14. Q

    Uchaguzi 2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  15. Tanganyika Law Society

    Tamko la Tanganyika Law Society (TLS) juu ya uamuzi wa kamati ya mawakili kumuondoa Bi. Fatma Amani Karume katika rejista ya mawakili Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI Mnamo tarehe 2 Oktoba 2020 Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society (TLS)...
  16. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  17. G Sam

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

    Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...
  18. jingalao

    Uchaguzi 2020 Ubalozi wetu nchini Marekani utoe tamko kwa ajili ya mwenendo wa Uchaguzi Marekani

    Ni muhimu ubalozi wa Tanzania Nchini marekani ukatuwakilisha vyema kwa kutoa tamko rasmi la jinsi mwenendo wa uchaguzi unavyoendelea nchini Marekani. Ni muhimu kuwaasa wagombea urais huko marekani kuacha kutupiana maneno bali wanadi sera zao.
  19. GENTAMYCINE

    Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

    "kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC. EastAfricaRadio Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi...
  20. Infantry Soldier

    Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
Back
Top Bottom