tamko

  1. BAVICHA Taifa

    Tamko la CHADEMA kuhusu uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

    Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan. Kutokana na unyeti wa nafasi hizo katika kusimamia haki nchini tumeona ni muhimu kusema...
  2. Analogia Malenga

    Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 2021

    TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kitalu Na. 339, Mtaa wa Nyerere - Kilimani S.L.P 4019, DODOMA Simu: +255 734 047 775; 734 119 978 Barua Pepe: info@chragg.go.tz Tovuti: www.chragg.go.tz Mei 3, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
  3. KENZY

    Tamko la UWABATA juu ya vifurushi

    Ndugu zangu wa (UWABATA),Chama Cha wanaume bahiri Tanzania hili swala tusiliache lipite hivihivi!,moja kwa moja Kama UWABATA limenishika na kuniteteresha kiuchumi! Ktk pitapita nimeona kweli vifurushi vimepanda bei tena ya kutupwa!. Kwa kufuata kauli aliyoitoa mama yetu samia rais wa jamhuli...
  4. Infantry Soldier

    Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  5. I am Groot

    Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  6. The Sheriff

    Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

    Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan. Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia nzima inasikitishwa kufahamu ni jinsi gani miaka michache iliyopita imekuwa migumu kwa wawili hao...
  7. Doctor Mama Amon

    Tamko la Padre Kitima na changamoto ya Korona dhidi ya Usalama wa Nchi: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

    Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Athuman Diwani (Kushoto) akiwa amesimama na Rais John Magufuli (Kulia) Usuli Tarehe 03 Machi 2021, akiwa anatekeleza majukumu yake kama Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, aliitisha mkutano wa maripota kutoka...
  8. Cannabis

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki Kenya watoa tamko la kupinga chanjo ya corona

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha. Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa...
  9. J

    #COVID19 Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo. Nawatakia Kwaresma yenye baraka...
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Afya: Epukeni misongamano isiyo ya lazima, vaeni barakoa safi na salama

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA NA YASIYOAMBUKIZA NCHINI Dodoma, Jumatano 24 Februari, 2021. Ndugu Wananchi, kila mwaka kipindi...
  11. Tanganyika Law Society

    Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
  12. Jidu La Mabambasi

    Kutovaa barakoa nalo tamko la kisiasa?

    Sayansi huwa haikopeshi. Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI. Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa. Tunajua kuwa kuna tatizo kubwa sasa hivi la vifo vinavyo sababishwa na changa moto ya kupua. Wewe ita nimonia (pneumonia)...
  13. K

    TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao. Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
  14. M

    Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
  15. Wizara ya Afya Tanzania

    Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  16. K

    Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  17. mkamanga original

    Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango. Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000. Mbaya...
  18. Q

    Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam, The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  19. Q

    Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

    Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
Back
Top Bottom