Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa.
Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania.
Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata fundisho kwamba ni watu wachache Sana wenye uchumi wakuweza kulipia oxygen.
Naomba wenye utaalam...
Mawakili wa wabunge wawili wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda wamesema majaji wanaogoba kusikiliza maombi ya wateja wao kupewa dhamana.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rais Museveni kutoa tamko la kuondoa dhamana kwa watuhumiwa wa mauji na uhaini.
Wabunge hao wawili ambao ni Allan...
Katika kuthibitisha kile ambacho wanasiasa wa upinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wakikipigia kelele siku zote na serikali kujifanya kiziwi haitaki kusikia, makamu mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko...
Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema.
Lakini pia hii...
Kuna maneno ameyaandika "Bwana yule" siku ya leo yanafikirisha kidogo. Lakini ukiyatazama kwa undani haya maneno nadhani ndo kilichomkata nguvu Mange Kimambi kuendelea kushikamana na wanachadema katika the so called "Harakati wa kudai demokrasia Tz"
Bwana yule ameandika katika Twitter yake kama...
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA
Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
Uzi huu ni mahsusi kwa viongozi wetu wa kiroho (maaskofu na mashehe)
Hakuna Mtanzania (wakiwemo viongozi wa serekali wenyewe) asiyejua kuwa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubambikwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe ni nia ovu ya kutaka kumkata makali katika adhma yake ya...
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
Habari za wakati huu!
Ninawaomba sana wanachama, wapenzi na washabiki wa Simba tuwe watulivu na makini kuelekea fainali ya FA CUP
Uongozi wa Simba upo makini na ulishatoa maelekezo ya kutatua mgogoro uliojitokeza. Simba ni timu inayojipambanua kuendeshwa kiweledi hivyo tusimame katika misingi...
A
Je, Mama akubali Kutenguliwa kwa Tozo ibaki ile ile ya mwanzo huku akimwangusha Waziri wake wa Fedha aliyemuamini?
B
Je, Mama akaze hivyo hivyo 'Tozo Umiza Komoa' ibaki ili amlinde Waziri wake wa Fedha, asiwaangushe Wabunge walioipitisha na asikiangushe Chama Tawala cha CCM kilichompa...
Habari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45.
Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja wanasubiri Mama Samia alitolee neno hili tatizo la uchafuzi wa Mazingira unaofanywa na wanaojiita British School-Computer Course.
Matangazo haya yametapaka Mwenge yote.
Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja...
Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021.
Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa.
Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.