Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia.
Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro.
-----------------------------------------------------------------------------------------
NGORONGORO: TAMKO...
Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022
“Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea.
“Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limekuja na kauli mbiu kuelekea Mei Mosi 2022 ambapo humo nani wamegusia kuhusu mishahara na maslahi bora ya wafanyakazi.
Tamko hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa TUCTA ambaye pia ni Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Cde.Hery H.Mkunda.
Kauli mbiu...
Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam.
Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022.
Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika...
Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka
kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe
Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga
Tumieni...
Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda.
Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
Picha: Mhandisi Hamad Masauni
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
10 Februari 2022
TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa.
Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
20 Januari, 2022, Dodoma.
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inatoa siku 30 tangu tarehe ya tamko hili hadi tarehe 18 Februari, 2022 kwa Makao ya watoto yasiyo na leseni kuwasilisha maombi ya usajili katika Halmashauri husika kuboresha huduma muhimu zinazohitajika...
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi
🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam
#NyukiWaMama
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.