tamko

  1. benzemah

    CCM yatoa tamko kulaani kushambuliwa waandishi wa Mwananchi wakiwa kazini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na kinalaani vikali tukio la kushambuliwana, kujeruhiwa na kuporwa mali Wanahabari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), lililotokea Julai 22, 2023, maeneo ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, wakati waandishi wa habari wa chombo hicho...
  2. Suley2019

    MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
  3. S

    Nini tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu Bandari

    Wana Bodi, Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
  4. Mavindozii

    Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
  5. Roving Journalist

    Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  6. Sildenafil Citrate

    Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

    Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
  7. REJESHO HURU

    Waziri wa Elimu, toa tamko kuhusu wanafunzi kubaki shuleni wakati wa likizo

    Niende kwenye hoja moja kwa moja kesho shule zinafungwa kwa ajiri ya mapumziko ya kumaliza mhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023, wazazi tunaitaji watoto wetu likizo waje wapumzike hatuitaji sijui mtoto yupo darasa la mitihani hafungi shule hii kasumba imeshamiri sana na kimekuwa kichaka cha...
  8. JanguKamaJangu

    Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

  9. kocha Nabi

    Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  10. BigTall

    Chalinze Cement yatoa tamko kuwa kampuni yao si ya mfukoni na sio matapeli

    Kupitia kwa Wakili wa Chalinze Cement Company Limited, Melchisedeck Lutema ambaye pia ni Wakili wa Chama cha Kutetea na Kusemea Walaji Tanzania amesema kuwa Chalinze ni Kampuni ambayo ilisajiliwa Mwaka 2021. Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Mei 8, 2023 Jijini Dar es Salaam amesema...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

    Nguvu Moja
  12. S

    TFF yatoa tamko baada ya Shaffih Dauda kutangaza Ndondo Cup

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  13. Mhafidhina07

    Serikali itoe tamko la kulaani tabia mbaya

    Dunia inaendelea kupiga hatua za kimaendeleo ikichagizwa na ukuwaji wa sayansi na teknolojia, ukuwaji huu unaenda sambamba na kuongezeka kwa tabia au mfumo mbaya ambao unaenda kuvunja na kuharibu kabisa tamaduni za Afrika lakini pia hata sheria za dini tofauti. Maendeleo haya ya teknolojia bado...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Kanisa la Anglican Tanzania latoa tamko kukataa ushoga

    Kanisa la Anglikana Tanzania limetoa tamko zito kupinga msimamo wa Anglican England kuhusu ushoga na ndoa za jinsia moja.
  15. Lanlady

    Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi! Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
  16. Mtu Asiyejulikana

    Hili tamko la Kamanda wa Polisi ni la ovyo

    Yaani katika fikra zake anaona wananchi wanachokosa kwa polisi ni utani tu? Kuwa ndo issue kubwa? Kuwa sasa wafurahi maana maisha yao yatakuwa ok kwa kuwa wanataniana na polisi? Hasemi msiogope KUWASHTAKI POLISI WANAPOKOSEA AU WANYANYASA. Yeye anaona deal ni kuwatania? SIKU ZOTE NITALIA NA...
  17. S

    Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  18. GENTAMYCINE

    Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  19. S

    Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  20. saidoo25

    Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

Back
Top Bottom