Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania.
Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa hawezi kuhama chama. Leo tunapigwa na butwaa, yani hata ukijaribu kunywa Castle light ya baridi...