The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) - Swahili: Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (CHAWAHATA) - is a nonprofit non-governmental organization focused on women's rights and children's rights, based in Dar es Salaam, Tanzania, and they also keep an office in Zanzibar.
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameandaa tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari Watanzania zinazojulikana kwa jina la “Samia Kalamu Awards 2024.”
Zoezi la kutoa tuzo hizo linatarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu 2024...
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi.
Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
KAMATI ya Kitaifa ya Ushauri kuhusu utekelezaji wa Programu ya Kizazi Chenye Usawa wa kiuchumi (GEF) imezipongeza taasisi zinazowezesha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto Zanzibar kwa jitihada zake za kukuza haki na usawa wa kiuchumi kwa makundi yote.
Pongezi hizo zimekuja kufuatia ziara...
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo.
Akizungumza na...
Waziri Mhagama Awahimza TAMWA Kuwekea Mkazo Ajenda ya Uhuru wa Kujieleza Unaojumuisha Sauti za Wanawake
Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya ajenda ya jumla ya haki za binadamu...
Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA - ZNZ) urges the community to refrain from recording children and posting on the social media networks after they have been subjected to humiliating acts. By doing so, is to aggravate the problem and is humiliating them even more.
Following...
ZANZIBAR
SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi.
Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
PRESS RELEASE 05th September, 2023.
In a joint press statement issued by Tanzania Media Women’s Association (TAMWA Zanzibar), Media Council of Tanzania (MCT) Zanzibar, Union for Journalists who write Development Stories Zanzibar (WAHAMAZA), and Zanzibar Press Club (ZPC) in collaboration with...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
The Tanzania Media Women's Association, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), urges women to remain steadfast in their attempt to vie for political leadership position, overcoming any possible challenges that women often face when entering leadership positions to increase their participation in decision-making...
CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kinawataka Wanawake kuwa wajasiri na kujitayarisha kiuongozi bila kuogopa changamoto zinazowakabili wanawake wanapoingia katika uongozi ili kuongeza ushiriki wao kwenye vyombo vya maamuzi.
Idadi ndogo ya wanawake katika...
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI 28-Mei-2023
Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) zimesikitishwa kwa vitendo vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake wawili yaliyotokea hivi karibuni Bububu Kijichi na Mbuzini...
Tanzania Media Women’s Association- Zanzibar (TAMWA-ZNZ) is sincerely extending its gratitude to The President of Zanzibar HE. Dr. Hussenin Mwinyi for his new thought of creating a special Ministry which among other things will be dealing with Women affairs outside the then arrangement of...
Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo
Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia
TAMWA
Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu?
Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote.
TAMWA
Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
Na Gaspary Charles - TAMWA ZANZIBAR
IMEBAINISHWA kuwa vyombo vya habari bado vinakabiliwa na ukosefu wa maudhui ya kutosha ya kiuandishi yatokanayo na uchambuzi wa masuala mbalimbali katika jamii jambo ambalo linapelekea matatizo na kero za wananchi kushindwa kutaftiwa ufumbuzi kwa wakati...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa waliohusika na vitendo vya upigaji na uuaji wa wanawake na watoto vilivyotokea hivi karibuni, hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.