The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) - Swahili: Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (CHAWAHATA) - is a nonprofit non-governmental organization focused on women's rights and children's rights, based in Dar es Salaam, Tanzania, and they also keep an office in Zanzibar.
TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake.
Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
TAMWA, Zanzibar yaviomba vyombo vya ulinzi kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya wanawake na watoto
Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani...
TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe.
Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa
Hali hii...
Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012;
Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia.
Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
Ripoti ya jeshi la polisi iliyotolewa mwaka 2020 inataja miongoni mwa ukatili dhidi ya Watoto wa kiume na wa kike ulioripotiwa kwa kiwango kikubwa kuwa ni dhuluma za kingono ambapo katika mwaka wa 2020 kuliripotiwa visa 7263 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo...
Utafiti wa viashiria vya afya (TDHS 2015/2016) ulibaini kuwa asilimia 58 ya wanawake na 40 ya wanaume wanakubali kwamba ni sahihi mume kumpiga mke kwa sababu mbalimbali
Tafiti hizi zinadhihirisha wazi, kuwa jamii inahitaji elimu zaidi ya kufahamu madhara ya upigaji ni kupingana na haki za...
Mila na desturi zimetufundisha ya kwamba masuala ya rushwa ya ngono hayazungumzwi, hivyo tuvunje ukimya kuanzia ndani ya vyombo vya habari mpaka katika jamii yetu kwa kuwa tunajua tatizo lipo tulifanyie kazi liweze kumalizika" Dk Rose Reuben: Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA
Takwimu za Ofisi ya...
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu.
Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa.
Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.