tandu

Ingo Kunzi (born 7 November 1966) is a German trance producer and DJ, best known for his work under his recording names Ayla and Tandu. The Ayla name was inspired by the name of a girl in the recording studio during his first Ayla recording. Kunzi is also related to other projects including Karuma, Elastique Culture, Tarot and Intrance.

View More On Wikipedia.org
  1. Minjingu Jingu

    Natafuta dawa kwa ajili ya Nge na Tandu

    Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu. Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa...
  2. RoadLofa

    Tandu wananiandama sana. Je shida inaweza kuwa nini?

    Yaani Toka zamani kila ninapoenda lazima nione Tandu na saa zingine kila room ninayokaa haipiti mwezi lazima nione Tandu na nilishawahi ng'antwa na Tandu why?
Back
Top Bottom