Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa...
Yaani Toka zamani kila ninapoenda lazima nione Tandu na saa zingine kila room ninayokaa haipiti mwezi lazima nione Tandu na nilishawahi ng'antwa na Tandu why?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.