Naombeni msaada wa dawa kwa jili ya kuua tandu na nge. ni mara kadhaa nimekuwa nikiwaona tandu hapa ninapoishi natafuta dawa ya kudumu ambayo itaua wote ndani. ni nyumba ya vyumba vinne so inahitajika dawa ya ukweli hasa kuweza malizana na hawa wadudu.
Maana kwa sasa nakosa amani kabisa hasa...