Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Shinyanga hadi Bulyanhulu, pamoja na vituo vya kupoza umeme vya Bulyanhulu, Geita, na Nyakanazi.
Hatua hii inatokana na matengenezo ya kuunganisha transfoma mpya katika...