tanesco geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa umeme Geita: Nimesubiri tokea Aprili

    Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma. Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kuzima umeme katika Wilaya mbalimbali za Geita siku ya Jumamosi

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa njia kuu ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 220 kutoka Shinyanga hadi Bulyanhulu, pamoja na vituo vya kupoza umeme vya Bulyanhulu, Geita, na Nyakanazi. Hatua hii inatokana na matengenezo ya kuunganisha transfoma mpya katika...
  3. E

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Geita kuna shida gani? Mbona umeme unakatika sana?

    Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini Wenyeji mnaonaje?
Back
Top Bottom