Habari Iyoma, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe namba ya ombi kwa msaada zaidi. ^GKNimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma.
Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari