@tanesco mwanza-nyamagana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika eneo la Igoma, Mwanza kuna nguzo inakaribia kuanguka, tumeripoti mara nyingi TANESCO wanapuuzia

    Hapa ni Igoma, Mwanza. Nguzo hiyo ya umeme ipo mtoni na iko katika hali hatarishi, kwani inaweza kuanguka wakati wowote mvua ikinyesha. Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…