KERO Katika eneo la Igoma, Mwanza kuna nguzo inakaribia kuanguka, tumeripoti mara nyingi TANESCO wanapuuzia

KERO Katika eneo la Igoma, Mwanza kuna nguzo inakaribia kuanguka, tumeripoti mara nyingi TANESCO wanapuuzia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hapa ni Igoma, Mwanza. Nguzo hiyo ya umeme ipo mtoni na iko katika hali hatarishi, kwani inaweza kuanguka wakati wowote mvua ikinyesha.

Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu tatizo hilo, pamoja na kufika ofisini kwa TANESCO Kigereshi, lakini hadi sasa hakuna msaada wowote uliopatikana.

Namba ya taarifa: MWZ092026TB-1228

PXL_20260917_143729866.RAW-01.COVER.jpg

Screenshot_20261014-095803.png
 
Hapa ni Igoma, Mwanza. Nguzo hiyo ya umeme ipo mtoni na iko katika hali hatarishi, kwani inaweza kuanguka wakati wowote mvua ikinyesha.
Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu tatizo hilo, pamoja na kufika ofisini kwa TANESCO Kigereshi, lakini hadi sasa hakuna msaada wowote uliopatikana.

Namba ya taarifa: MWZ092026TB-1228

View attachment 3690395
View attachment 3690396

Ndugu mteja

Asante sana kwa taarifa yako tutarudi kwako na mrejesho wa utekelezaji. Hili lipo kwenye uwezo wetu.

Asante.^RS
 
Habari, ndugu mteja.

Asante kwa kutoa taarifa. Eneo hili tunalifahamu kutokana na eneo kuliwa na maji tumejenga njia nyingine kwa nguzo za zege ambayo inabeba line hilo ya Magu Feeder. Hivyo hiyo line tutaibomoa kutokana na eneo hilo kuliwa na maji.

Asante. ^RS

WhatsApp Image 2026-10-14 at 15.59.11.jpeg
WhatsApp Image 2026-10-14 at 15.59.10.jpeg
 
Back
Top Bottom